Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

kabsa Kuna casino kule posta mabauncer na wafanyakazi wote kwa ujumla mshahara hawalipwi kupitia bank wanalipa mkononi sasa huu si ukwepaji wa Kodi??? wàchina hawafai
 
Ila kupanda daladala la Mbagala Charambe uende Magufuli Stendi upande Nyehunge halafu uende hapo Nyamisati pwani kivuko cha Mafia ni bonge la kamba.
 
Akisema Trump marekani imejaa wahamiaji, mnasema ni mbaguzi wa rangi. Haya sasa wewe tukuiteje?
 
Kama mnachangamana nao na hawana hila dhidi yenu shida iko wapi? Chukulia mfano wa Moise Katumbi wa DRC. Suppose anakuwa Rais wa DRC na anaisaidia sana DRC kuliko Rais yeyote wa DRC tangia ipate Uhuru. Shida nini? Rangi?
 
Ila kupanda daladala la Mbagala Charambe uende Magufuli Stendi upande Nyehunge halafu uende hapo Nyamisati pwani kivuko cha Mafia ni bonge la kamba.
Tanzania kubwa Mkuu, sio kila Magomeni ipo Dar. Hadi Zanzibar ipo...
 
uswahili unakuja pale unapodhani kwenye nchi ya kijamaa kama Tanzania mtu akija anakuja kukuibia wakati kuna mamiradi kibao ya serikali ambayo wewe unayajua na ambayo huyajui yanaendelea

mtu kuja kwenye nchi yako siyo dhambi ilimradi sheria za nchi hazijavunjwa
 
Kwao ni wengi na wamebanana mno! Kwa nini wasije huku Bongo lala kutafuta fursa za maisha?
Tuwapokee! Hao ni Wakoloni wapya! Ndiyo maana watoto wetu wameanza kufundishwa Kichina mashuleni.
 
Hayo mengine siwezi kujua kwani niliendelea na safari yangu.
Kuweka mashaka ni mwanzo wa kujua kinachoendelea.
Huko kwao hamuwezi kuingia zaidi ya watu 10+na uelekeo wenu mmoja watu lazima wahoji.
Km hilo kwako ni sawa potezea, imni yangu inaniambia hawakua pale kwa nia nzuri.
Huamini Acha si lazima.
 
Wanawapa mimba sana dada zenu huko viwandani na madukani
 
Naona hapa watu wanatoa comparison ambazo wala hazina uhalisia wowote... Kwamba mbona wabongo wamejaa China, USA au nchi nyingine kubwa... Wote walioandika hivi nimewashangaa sehemu kadhaa,

1. Hizo nchi zote kwanza zina idadi kubwa sana ya watu (native/indigenous) except US, kiasi kwamba idadi ya wabongo (wahamiaji) ni sawa na kisoda kwenye pipa la maji, ni wachache kiasi ambacho hawana positive wala negative impact yoyote kwa taifa husika...

2. Hizo nchi zote raia wake wameshaandaliwa miaka dahari kuwa na sense of ownership na uzalendo kwa taarifa lao. So na wewe ukifika lazima utafuata utaratibu wao wa maisha ikiwepo kulipa kodi.

3. Hizo nchi zote wana elimu ya kutosha kiasi kwamba mgeni ukija huwezi kutumia elimu au ujuzi wako kuwa'monopoly in any how. Lazima utajitafuta tu.

4. Hizo nchi zote zina sheria kali ambazo zinatekelezeka kiasi kwamba janja janja ya namna yoyote kwa mgeni ni ngumu. So mgeni akifIka ni more likely kuifaidisha nchi husika kuliko yeye kufaidika as individual.

KWA SABABU CHACHE TAJWA HAPO JUU NA KINYUME CHAKE NDIO NCHI ZETU ZA AFRICA IKIWEMO TANZANIA. HIVYO BASI LAZIMA TUWE MAKINI SANA NA HAWA WAGENI LUKUKI. LAZIMA TUJIANDAE NA KWELI WAWE NA FAIDA KATIKA KUJENGA NCHI YETU.

#Wawekezaji toka nje karibuni mtusaidie kujenga nchi yetu. Win-Win Situation..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…