Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kwani walizaa na wasambaa?Warabu,wahindi, wazungu waliozaa na kuhamia Afrika wamebadili nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walizaa na wasambaa?Warabu,wahindi, wazungu waliozaa na kuhamia Afrika wamebadili nini ?
We jamaa unaishi wapi, umesoma wapi?Kwani walizaa na wasambaa?
Sijasoma mkuu. Nipo Tanganyika.We jamaa unaishi wapi, umesoma wapi?
Kuwakalisha huwezi. Pita kwenye vibao vya ujenzi wa miradi mikubwa, tender nyingi kubwa zinapewa CCC....Waje wajenge nchi, waje tushindane nao mpaka tuwakalishe woga hausaidii kitu
kabsa Kuna casino kule posta mabauncer na wafanyakazi wote kwa ujumla mshahara hawalipwi kupitia bank wanalipa mkononi sasa huu si ukwepaji wa Kodi??? wàchina hawafaiDuuuh hatari sana hii... Ila labda ndio uwekezaji...
Shida ya wachina ni wajanja wajanja sana kwenye kulipa kodi. Laiti kama wangekua wanalipa kodi stahiki kwa wakati bila janja janja ya kushirikiana na watu wetu, hakika kwa uwekezaji wao tungekua tumenufaika sana. Sema ndo hivyo tu, tumuachie Mungu!!
Ila kupanda daladala la Mbagala Charambe uende Magufuli Stendi upande Nyehunge halafu uende hapo Nyamisati pwani kivuko cha Mafia ni bonge la kamba.Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?
Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
nyapu zao Zina baridi sana huta enjoy we jipigie hao wazaramo tuMzee hujachukua namba ukanitumia pm? Nami huenda nikala white demu nione utamu wao.
uswahili unakuja pale unapodhani kwenye nchi ya kijamaa kama Tanzania mtu akija anakuja kukuibia wakati kuna mamiradi kibao ya serikali ambayo wewe unayajua na ambayo huyajui yanaendeleaMkuu uwe na akili kidogo na utoe ujinga wako kichwani. Ni miaka 13 iliyopita hakukua na project yoyote kule pori waliposhukia.kulikua na mlima mkubwa sana mbele ndio walizama huko.labda useme kuna madini walifwata huko ndani.
Sasa uswahili hapo unakujaje, Sisi kuhoji kwamba hawa watu wapo miaka na miaka tena ndani vijijini huko ndio uswahili?
Mbona unaonekana una akili huku umejaza maboga tu kichwani wewe.
Hayo mengine siwezi kujua kwani niliendelea na safari yangu.uswahili unakuja pale unapodhani kwenye nchi ya kijamaa kama Tanzania mtu akija anakuja kukuibia wakati kuna mamiradi kibao ya serikali ambayo wewe unayajua na ambayo huyajui yanaendelea
mtu kuja kwenye nchi yako siyo dhambi ilimradi sheria za nchi hazijavunjwa
Wanawapa mimba sana dada zenu huko viwandani na madukaniWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?
Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Naona hapa watu wanatoa comparison ambazo wala hazina uhalisia wowote... Kwamba mbona wabongo wamejaa China, USA au nchi nyingine kubwa... Wote walioandika hivi nimewashangaa sehemu kadhaa,Hayo mengine siwezi kujua kwani niliendelea na safari yangu.
Kuweka mashaka ni mwanzo wa kujua kinachoendelea.
Huko kwao hamuwezi kuingia zaidi ya watu 10+na uelekeo wenu mmoja watu lazima wahoji.
Km hilo kwako ni sawa potezea, imni yangu inaniambia hawakua pale kwa nia nzuri.
Huamini Acha si lazima.