Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Kaka una point ya Msingi sana. Wazee wa voice note. Hili nila kureport.
 
Kuna siku nipo chuo natoka venue nikaona mchina kaja kwenye bodaboda, ndani ya tisheti sijui kaficha nini, pamevimba af kashikilia na mkono, kafika eneo la karibu na administration block akapiga picha majengo halafu akageuza,...
Nilikuwa namchora tu nkabaki nashangaa
 
Mkuu nahofia kukujibu nisiharibu uzi..
Hao wachina laki 3 wanakuja kwa mujibu wa chanzo kipi cha taarifa? Kwahiyo mtu akiibuka hapa jukwaani na kusema kuna wahindi milioni 10 wanakuja basi, tayari hiyo ni reference?
 
Wamesha anza kua waswahili kabisa kuna mmoja wiki iliyopita amekamatwa na mamlaka ya maji kwa wizi wa maji
 
wewe waswahili wenzako waliojaa huko china wakisemwa hivi utasema mnabaguliwa

wabongo wamejaa china hadi crdb nasikia wameanzisha tawi huko
 
hao mainjinia wanawatengenezea barabara acha uduanzi wa kiswahili
 
hao mainjinia wanawatengenezea barabara acha uduanzi wa kiswahili
Hakukuwa na barabara inajengwa mahali hapo we kitukuu cha kuku wa kijani.
Na katika wale wachina unawaita wewe maengineer, una safari ndefu sana kuondokana na ubwegibuza+alafu mtu km wewe utakuta unaongoza familia, what a mess!
 
ulijuaje kuwa hakukuwa na barabara au project inayoendelea hapo ww ni afisa mipang miji eneo hilo???
haya unataka kutuaminisha conspiracy gani sasa kuwa walishuka kwenda wapi??
waswahili bhana
 
Mbona wameshafungua na vituo vyao vya police huku....

Mbona poa sana na mimi ninakamata mmoja nizalishe watoto wa kustaafia.....
 
Nzega wakati twajenga lami kuna jamaa alikuwa anaitwa Roma....alikuwa ana binti wa kichina.....na jamaa alikuwa ndiye mfasiri wa lugha....
Haya mambo si mapya...kamata mchina oa zalisha fungua mlango na fursa ya kwenda uchina...dunia kwa sasa haina mipaka...
 
ulijuaje kuwa hakukuwa na barabara au project inayoendelea hapo ww ni afisa mipang miji eneo hilo???
haya unataka kutuaminisha conspiracy gani sasa kuwa walishuka kwenda wapi??
waswahili bhana
Mkuu uwe na akili kidogo na utoe ujinga wako kichwani. Ni miaka 13 iliyopita hakukua na project yoyote kule pori waliposhukia.kulikua na mlima mkubwa sana mbele ndio walizama huko.labda useme kuna madini walifwata huko ndani.
Sasa uswahili hapo unakujaje, Sisi kuhoji kwamba hawa watu wapo miaka na miaka tena ndani vijijini huko ndio uswahili?
Mbona unaonekana una akili huku umejaza maboga tu kichwani wewe.
 
Ukitaka utoboe vizuri kuwa kama wao, hili wazungu washafanya sana tu. Wanauenzi ule msemo wa kuwa ukiwa Roma ishi kama mroma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…