Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Haina impact ki vipi ?Mkuu influx ya Watanzanja China au Ulaya haina Impact yoyote ukilinganisha na influx yao huku kwetu.
Uje unaongea ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina impact ki vipi ?Mkuu influx ya Watanzanja China au Ulaya haina Impact yoyote ukilinganisha na influx yao huku kwetu.
Mimi ni mswahili pure nipo Lusitu huku nachuma chai.mmoja wao ni huyu "Shin Lim" si unaona hata hiyo ID
Kaka una point ya Msingi sana. Wazee wa voice note. Hili nila kureport.Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Hao wachina laki 3 wanakuja kwa mujibu wa chanzo kipi cha taarifa? Kwahiyo mtu akiibuka hapa jukwaani na kusema kuna wahindi milioni 10 wanakuja basi, tayari hiyo ni reference?Mkuu nahofia kukujibu nisiharibu uzi..
不错,你呢Nǚshì nǐ hǎo ma
wewe waswahili wenzako waliojaa huko china wakisemwa hivi utasema mnabaguliwaWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?
Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
hao mainjinia wanawatengenezea barabara acha uduanzi wa kiswahiliMwaka 2011 nilipanda Bus kwenda kusini nyanda za juu.
Kama kawaida siti yangu ni mwisho kule nyuma kabisa.A
Aisee waliingia wachina 11+ hivi wanaenda mkoani na walishukia porini kabisa hapo makambako.
Sasa swali, walienda kufata nini kule?
Leo wako wapi?
Hakukuwa na barabara inajengwa mahali hapo we kitukuu cha kuku wa kijani.hao mainjinia wanawatengenezea barabara acha uduanzi wa kiswahili
ulijuaje kuwa hakukuwa na barabara au project inayoendelea hapo ww ni afisa mipang miji eneo hilo???Hakukuwa na barabara inajengwa mahali hapo we kitukuu cha kuku wa kijani.
Na katika wale wachina unawaita wewe maengineer, una safari ndefu sana kuondokana na ubwegibuza+alafu mtu km wewe utakuta unaongoza familia, what a mess!
Mbona poa sana na mimi ninakamata mmoja nizalishe watoto wa kustaafia.....Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele?
Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema Bara la Africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Nzega wakati twajenga lami kuna jamaa alikuwa anaitwa Roma....alikuwa ana binti wa kichina.....na jamaa alikuwa ndiye mfasiri wa lugha....Bora waje tuendelee china miaka 1950/60 ilikuwa sawa na nchi nyingi mno za kiafrika Sasa sie tuko pale pale ,cheki saizi ipo juu kisa cha weupe.
Cheki mwigulu hana namna ya kutafuta mapato Bali anakamua wanachi kwa tozo. Bora angepambana tukalima tukafuga kisasa ili tufanye exportation hata tunapata za kigeni. Yaani afrika acha kabisa naona Bora tuzaliane.tupoteze I'd ya black Kama walivyofanya huko Argentina
Mkuu uwe na akili kidogo na utoe ujinga wako kichwani. Ni miaka 13 iliyopita hakukua na project yoyote kule pori waliposhukia.kulikua na mlima mkubwa sana mbele ndio walizama huko.labda useme kuna madini walifwata huko ndani.ulijuaje kuwa hakukuwa na barabara au project inayoendelea hapo ww ni afisa mipang miji eneo hilo???
haya unataka kutuaminisha conspiracy gani sasa kuwa walishuka kwenda wapi??
waswahili bhana