Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Hili taifa la Tanzania limebarikiwa kuwa na watu wajinga sana

Hivi katika mataifa yenye wawekezaji wengi wa Kichina mnafikiri Tz hata kwenye top 20 ipo?

Niwape mifano michache
  • Nendeni Marekani muone jinsi Wachina wanamiliki ardhi na biashara​
  • Then nendeni Australia muone jinsi Wachina wanamiliki biashara na migodi.​
  • Greenland kisiwa ambacho Trump anakiwania kwa sasa hapo 12.5% ya total mining inamilikiwa na Wachina​
  • Nendeni nchi za ASEAN muone Wachina walivyo wengi kama wawekezaji​

Na huatasikia watu wa mataifa hayo wakiwa na midomo kama masikini wa Tanzania.

Pigeni kazi nafasi hata China zipo za kupiga hela, mbona kuna mbongo ana kampuni ya kusafirisha bidhaa na mgahawa mkubwa tu jijini Tianjin China na kawaajiri hadi Wachina

Tatizo kubwa la Watanzania tumekosa exposure kwenye masuala ya globalization

Acheni akili za kimasikini, umasikini, uvivu, majungu na uchawi ni kitu kimoja
 
Umeiweka vizuri sana. Na ndo maana nikasema kama tunaweza kuwafanya waka'abide na rule of laws zote. Wakawa wanalipa kodi vizuri na kujali jamii yetu basi hakika in near future no wonder tukawa the richest country in Africa
 
Tatizo kubwa la Watanzania tumekosa exposure kwenye masuala ya globalization

Acheni akili za kimasikini, umasikini, uvivu, majungu na uchawi ni kitu kimoj
NAKAZIA

Linapokuja suala la exposure hapa ndipo Wanigeria na Wakenya huwa wanatuona washamba

Watanzania ni wavivu sana wa kutafuta fursa nje ya Tanzania ndio maana wanawashangaa Wachina, Wakenya, Wanigeria n.k wakija bongo
 
Mheshimiwa Rais, with due respect na umaskini wetu...

Kumbuka hapa hatuzungumziii mtu nmoja mmoja tunazungumzia jamii nzima ya watanzania. Je unadhani comparison zako za nchi zingine na uwepo wa idadi kubwa ya hawa jamaa ina'apply kwetu??? Huoni utafauti wetu mkubwa na hizo nchi kuanzia uzalendo, elimu, exposure, mitaji, technicalities na hata tu maisha ya kawaida?? Huoni kuna umuhimu mkubwa wa watu wetu kuandaliwa kielimu, kimbinu na kisaikolojia li kushindana na hao jamaa hapa ndani? Au unaona kila kitu kipo sawa.

NB: Sio bandiko la unyanyapaa wa namna yoyote bali lengo na nia ni kuwaandaa wengine kwenye dunia ya ushindanj
 
Tukuyu wako wakina Andambwile Mwakikato ila wana muonekano wa wachina. Kuna dada mmoja nilikuwa namuona Mbeya mjini halfcast wa kichina alikuwa mzuri sana. Sasa hivi sijui kahamia wapi.

Mataifa mengi wanatengeneza fursa kwa vizazi vyao vijavyo kama wanavyofanya wamarekani. Afande Paulo ana raia wake nchini wanafanya kazi kwenye taasisi za serikali nchini. Nimesoma na jamaa mmoja sekondari na wengine wawili A-level na chuo wote wanafanyakazi nchini na ni wazawa ila moyo wao uko nchini Israel ya Africa Mashariki wanakopatikana wadada warembo sana.
 
Hayo mataifa hawakuwaandaa watu wao kwa ujio wa Wachina
 
Tatizo waafrika tuna ubaguzi sana ila tunaowabagua wametushinda kila kitu hivyo tumebaki na unafiki
Point, sisi ngozi nyeusi ndiyo tunaongoza kwa ubaguzi duniani lakini goodness hali halisi on the ground sisi ndiyo masikini kuliko races zote duniani. Just imagine maoni ya wananzengo ilhali nchi yao ina-survive kwa mikopo na misaada mingine inatoka huko China wanaochukia uwepo wa raia wao TZ bila kujali kama wako kihalali au la, Waswahili wamejazana China na madada poa wauza mbunye wa Kibongo wako kibao huko lakini wanacholalamikia ni Wachina walioko TZ.
Tungeendele kabla ya races nyingine, tukaenda 'kuwavumbua' na kuwatawala seriously 'wangelima kwa kutumia meno' na wasingepata uhuru kamwe. Wangeuawa,kubakwa na kulawitiwa mpaka wangekoma. Wabantu wana roho chafu na nyeusi kwa kiwango cha kutisha.
 
Sio Kila mchina umuonae ni mchina halisi kutoka China, wapo Dada zetu wengi sana walizalishwa na wachina na kutelekezwa
 
baba-mwajuma Xi Jinping hizi tuhuma juu ya wachina ni za kweli??
 
Hao ni kazi ya dada zako kutembeza mbususu kisha kuzalishwa na Wachina
 
Wewe umakatazwa kuwa mjanja? Si umechagua mwenyewe kuwa Zuzu au? 😆😆
 
Kuana jarida linatembea kwa kasi sana wachina wanasema wao asili yao ni Afrika na DNA inathibitisha hilo.

Kuna mdau alipost humu.
Kwa ambae haamini basi asome vitabu vifuatavyo

1. The Seven Daughters of Even - Bryan Sykes
2. Guns, Germs and Steel - Jared Diamond
3. The Journey of Man - Spencer Wells.

Hivi vitabu nimevisoma ni mda kidogo. Vina chambua origin ya binadamu kwa ushahidi wa ki DNA, Anthropology, circumtances n.k.

Kwasasa kitabu ambacho nimebaki nacho kwenye collection yangu kati ya hivyo ni hiki
 
Wachina wengi Tanzania ni KIASI gani?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Nichangie hivi.
Warabu walikuja
Wahindi wakaja
Wazungu wakaja.
Hao wote hawajaifanya Africa iwe ya weupe.
South Africa ndio ingekuwa ya kwanza kuwa ya wazungu lakini wazungu ni 10%.
Wachina nao wana haki, tatizo wanakuja kipindi Waafrika hawawaamini sana watu weupe.
Ujio wa Wachina ni kutokana na udhaifu wa mwafrika mwenyewe. udhaifu wa miaka 500 iliopita uliopelekea tukawa watumwa indio ule ule wa sasa.
Viongozi wana amini sana kukopwa pesa na watu weupe hivyo hupewa masharti ya kuruhusu hao weupe waje watakavyo.
Wachina ni jamiii iliochelewa kutoka nje ya China kulinganisha na warabu wahindi na wazungu, hivyo ni muda wao kutoka, na wanaenda kona zote za DUNIA sio Tanzania tu.
Jambo lingine ni sisi wenyewe raia. Yaani mchina akajilengesha kwa mtanzania mara moja anaingia nae kwenye mapenzi, hata warabu walikuja kwa njia hio hio.
Mtu mweusi atatoweka kwa tamaaa zake.
 
Waje tu wazae na wasambaa labda kuna kitu kitatokea.
Warabu,wahindi, wazungu waliozaa na kuhamia Afrika wamebadili nini ?
Maendeleo hayaletwi na rangi bali commitment. Halafu wachina wanaokuja huku ni choka mbaya low iq walioshindwa ku battle in Cina wamekuja huku kwa watu dhaifu.
Hutaona wanasayansi, matajiri kama Jackma bali choka mbaya. Ni kama wale waafrika wanaomigrate to Europe ni IQ ndogo hivyo wazungu hawawataki bali wanawataka wasomi, wanamichezo, wenye vipaji nk.
Hawa wachina wanakuja kuiongezea serikali mziho wa kuwahudumia. Maana hawaji ma madokta walimu nk. Watategemea wahudumiwe hapa hapa. Kwa hio we are looser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…