Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hili taifa la Tanzania limebarikiwa kuwa na watu wajinga sana
Hivi katika mataifa yenye wawekezaji wengi wa Kichina mnafikiri Tz hata kwenye top 20 ipo?
Niwape mifano michache
Hivi katika mataifa yenye wawekezaji wengi wa Kichina mnafikiri Tz hata kwenye top 20 ipo?
Niwape mifano michache
- Nendeni Marekani muone jinsi Wachina wanamiliki ardhi na biashara
- Then nendeni Australia muone jinsi Wachina wanamiliki biashara na migodi.
- Greenland kisiwa ambacho Trump anakiwania kwa sasa hapo 12.5% ya total mining inamilikiwa na Wachina
- Nendeni nchi za ASEAN muone Wachina walivyo wengi kama wawekezaji
Na huatasikia watu wa mataifa hayo wakiwa na midomo kama masikini wa Tanzania.
Pigeni kazi nafasi hata China zipo za kupiga hela, mbona kuna mbongo ana kampuni ya kusafirisha bidhaa na mgahawa mkubwa tu jijini Tianjin China na kawaajiri hadi Wachina
Tatizo kubwa la Watanzania tumekosa exposure kwenye masuala ya globalization
Acheni akili za kimasikini, umasikini, uvivu, majungu na uchawi ni kitu kimoja