Wakuu nina wazo

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke hapewi pesa.

Mwanamke anapewa card ajichotee mwenyewe anavyotaka.

Lakini hiyo mitihani ya kuaminiwa kufikia hiyo level ya kupewa card sasa 🤣🤣🤣.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Shida sana kujivika majukumu ya baba ilihali huyo ni rafiki tu, mtu mmeanza tu mahusiano anakugeuza kitega uchumi.

Sijui hizi akili zenu zina nini wakuu.
 
Mimi nashauri mtu akikuomba kitu kama huna au hutaki kumpatia mwambie tu SINA usimpe matumaini yoyote unatengeneza uadui lakini pia itakufanya umjue mapema ni mtu wa aina gani, akiondoka muache aende.
 
Achana nae, Wala usimfanyie kisasi wewe chakufanya nenda zako dili na mambo yako mengine na siku nyingine ukiwa makini utampata anaekufaa, achana na nae huyu atakupotezea muda wewe mwenyewe unajua jinsi muda ulivyo Mali siku hizi, Kuna mambo mengi ya msingi ya kufikiria.
 
Na mbona kazini alienda japo baadae nilimtumia ila hata ahsante akujibu
 
Ila wewe dada una akili sana
 
Coment makini sana kaka shukran huu ushauri nimeupokea vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…