Wakuu nipo wakati mbaya sana

Wakuu nipo wakati mbaya sana

Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama uhalisia naona Hali mbaya zaidi.

Naandika haya kwa uchungu Sana na uchungu Sana na sielewi kwann haya, na katu siwalaumu wazazi wangu kwa kuwa maskini.

Nipo critical situation japo nipate mtu wa kunielewa tu.

Inapeleka muda hadi nawaza kufanya maaamuz magumu liwalo na liwe lakin bado natembea lakin kama na furaha lakin moyoni na maumivu mabaya sana.
Nipo chuo hapa jijini mwaka wa tatu (bachelor of education).

EE MUNGU uyakumbuke maisha yangu na wadogo zangu wanao nitazama Mungu unisamehe kama nakosa
Shida inaanzia hapo.

Umelalamika tu na hujasema nini tatizo, sasa utasaidiwaje?
 
Jaribu kutembelea kijiwe chochote cha kahawa kilichokaribu nawe, unaweza saidia ndugu!
 
Unasumbuliwa na nini Kati ya hivi vitu

-Health
-Relationship
-Spiritual
-Economic hardship

If everything is fine , expect studies just contact with me pm.
 
Mkuu. Focus on one thing at a time.

Nakushauri elekeza nguvu yako katika elimu. Maliza kwanza. Mambo mengine yatafuata. Najua ajira imekuwa changamoto sana kwenye kada unayosomea ila huu sio muda wa kuwaza ajira.

Pia waweke wazi ndugu na jamaa kuwa huna uwezo wa kuwasaidia kwa sasa. Ukimaliza elimu yako tafuta kujifunza soft skills za kukuinguzia kipato.

Mwisho kabisa kaa mbali na wanawake hawa wa miaka 18-25. Wengi wao ni chuma ulete na watakupoteza kwenye malengo.
 
Unataka kufa au kuchukuwa maamuzi gani ya kujilipua kwenda kubeba box ng'ambo au, we jamaa jikaze kama bongo pamekushinda angalia nchi ingine andaa passport , jifunze fani andaa leseni etc siku umejikusanya nenda ng'ambo kazi zipo ata za usafi kule

Kweli mjini kugumu ila inabdi ujitoe akili kufanikiwa aibu iache kitandani nenda katafute. Ukitaka kujiua we jiue hakuna anaejali kila mtu ana matatizo mzee ni vile tunajitahidi familia zetu zinapata kwenda chooni basi mengine Tunajipanga
 
Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama uhalisia naona Hali mbaya zaidi.

Naandika haya kwa uchungu Sana na uchungu Sana na sielewi kwann haya, na katu siwalaumu wazazi wangu kwa kuwa maskini.

Nipo critical situation japo nipate mtu wa kunielewa tu.

Inapeleka muda hadi nawaza kufanya maaamuz magumu liwalo na liwe lakin bado natembea lakin kama na furaha lakin moyoni na maumivu mabaya sana.
Nipo chuo hapa jijini mwaka wa tatu (bachelor of education).

EE MUNGU uyakumbuke maisha yangu na wadogo zangu wanao nitazama Mungu unisamehe kama nakosa
one step to the next!

Pambana na present kwanza huko mbele uonapo Giza ukikarikbia utaona mwanga kila unaposogea!!

Halafu usibebe maisha ya wadogo zako na hatma yao,why hatma Yao ishaandikwa we timiza wajibu wako wa madesa kwanza hapo udsm,usije disco!!

Huko unapoona Giza paombee sana lakini Sasa komaa kwanza na course!!

Usiwaze ajira Wala kipato baada ya chuo maliza kwanza!!

Ukimaliza utapata mwelekeo!!

Niliwahi pitia hiyo stress ya life after campass mwaka 2013 ndio nilikua namaliza,lakini moments za kumaliza zilipofuka zilijishughulikia zenyewe!!!

Wadogozako usiwaweke moyoni coz yupo anaejua hadi idadi ya nywele zao ambae ni Mungu aliewaumba!!!

Nadhani!!
 
6c1c2c53c6d07488c99cc776148c8bb9.jpg
 
Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama uhalisia naona Hali mbaya zaidi.

Naandika haya kwa uchungu Sana na uchungu Sana na sielewi kwann haya, na katu siwalaumu wazazi wangu kwa kuwa maskini.

Nipo critical situation japo nipate mtu wa kunielewa tu.

Inapeleka muda hadi nawaza kufanya maaamuz magumu liwalo na liwe lakin bado natembea lakin kama na furaha lakin moyoni na maumivu mabaya sana.
Nipo chuo hapa jijini mwaka wa tatu (bachelor of education).

EE MUNGU uyakumbuke maisha yangu na wadogo zangu wanao nitazama Mungu unisamehe kama nakosa
Shida yako unajitwika matatizo ya Dunia as if ni yako yote.

Utakufa utapita na matatizo yataendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom