Wakuu nipo wakati mbaya sana

Wakuu nipo wakati mbaya sana

Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama uhalisia naona Hali mbaya zaidi.

Naandika haya kwa uchungu Sana na uchungu Sana na sielewi kwann haya, na katu siwalaumu wazazi wangu kwa kuwa maskini.

Nipo critical situation japo nipate mtu wa kunielewa tu.

Inapeleka muda hadi nawaza kufanya maaamuz magumu liwalo na liwe lakin bado natembea lakin kama na furaha lakin moyoni na maumivu mabaya sana.
Nipo chuo hapa jijini mwaka wa tatu (bachelor of education).

EE MUNGU uyakumbuke maisha yangu na wadogo zangu wanao nitazama Mungu unisamehe kama nakosa
Tena mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru. Yoh.8:32

ondoa woga vaa ujasiri wa kupambana na kinachokukabili huku ukimtanguliza Mungu, na Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi atakuonyesha njia ..

eeh nini kinakusibu mpendwa Mwalimu mtarajiwa
 
Back
Top Bottom