Wakuu nisaidieni, Hata dk 1 Haifiki nimefika

Safii tu mbn sasa may be wew ni mgeni wa mbuye usijal so utakuwa very sensitive (wale wa gusa achia.) Hauna shida kabis relax. Tafut mkee sasa kam upo tayal kuowa utakuj kujua hauna shida. NB. ACHA KUTAFUTA DAWA UPO VIZUR WEWE.
 
Ila we jamaa 😆😆😆
 
Practice make perfect, tafuta kademu kadogo kasiwe kadogo sana ukaidhia jela hak kawe kwao au beki tatu wa nyumba Fulani jitahidi UWE na uhakika wa kumpata walau Kila siku au Kila baada ya siku mbili, ikiwezekana oa, utavo kua unaichapa Kila siku hilo ni zoezi mkuu ndio mana mume wa mtu anaepewa unyumba Kila autakapo ana uwezokano mkubwa sana wa kumridhisha demu yeyote kuliko single boy, single boy Huwa hana cha ziada nacho jua tofauti na kusukuma kiuno na kubadili style za porno video, vuta kademu ka kufanyia zoezi ila oa kabisa, if possible
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Dah, vitu vyangu hivi 🥰
 
Mimi katika kelele changu cha ujana nilikuwa Napiga kama unavyoelezea

Mbili asubuhi

Mbili mchana

Tatu usiku

Vile najitengezea bikra kila kila siku. 🤗

Ile ikafanya nikipewa nyuchi naona ziko mbwambwa sielewi shekh.! Ndio utakuta nusu saa bado nipo kinenani. 🤭
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Achana na mapenzi, sio fungu lako, fanya ishu zngn
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Kegel exercise
Nenda youtube kaangalie
 
Hiyo dozi uliyompa pia inakuza na kurefusha mkongonyo wa babu
 
Ulifanya kwa muda gani?
Nusu saa hujakojoa goli la kwanza hilo nalo tatizo bingwa ni kwamba hisia hakuna, interval yako ya kulomba ikoje, haiwezekani uwe na kichupa, forepaly ya kutosha, kisha uvuke dk 5-15 kwa goli la kwanza ni ngumu sana...
GOli la pili sawa, unakata 15-30 wakati mwingime 45 kabisa, kutegemeana na kichupa na unaemlomba..
 
Astakafirilah mtumishi wa Mungu, sijawahi kuharibu uzi, siku zote mm natoa nondo tuu 😎
Dkk moja ndio dkk sahihi kwa wanaume rijali wote
Nadhani umeanza kuwa mtu sahihi mkuu🫡.

Hakika kila jambo na wakati wake hahaha.BIG UP FAMILIA



Maandishi sahihi yaliyokosewa ni bora kuliko maandishi yasiyo na maana.
 
Me sio ntu wa mihemuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…