Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Hilo sio jibu la swali.. umepiga nyeto muda gani!!Me sio ntu wa mihemuko
Ukijua muda Eti itasaidia unataka kuaminisha nini.?Hilo sio jibu la swali.. umepiga nyeto muda gani!!
Kwani hiyo dak. 1 haitosha kuleta matokeo?Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Hii uhakikaDawa ni hii:
1. Tenga dakika 30- kila siku asubuhi na jioni
2. Fanya mazoezi kwa siku 3-mfulizo na pumzika siku 1 , endelea
3. Hii iwe ni sehemu ya ratiba yako ya siku:
View attachment 3697937
View attachment 3697938
[Angalizo]
- Usinunua dawa yeyote utakayo shauriwa, utapata matokeo ya muda mfupi na kujenga tatizo la kudumu maisha yako yote - Hii ni hatari, Ukithubutu kutumia dawa, unakuwa tegemezi wa dawa, hii inakuharibu zaidi.
- Dawa pekee ni: Mazoezi, lishe safi (zingatia neno lishe SAFI), Bila kusahau usingizi wa kutosha usio pungua masaa 6-8 kwa siku.
hiyo ni ishu ya akili yako, unapopiga nyeto lengo ni kumwaga haraka ili upate furaha kwa haraka. Ushatengeneza neuropath kwamba kila ubongo wako ukipewa taarifa za kuwa unashiriki sex iruhusu viungo vyako vya uzazi kuachilia mbegu kwa haraka. Kama ilivyochukua muda kutengeneza tatizo, pia itachukua muda kupona. Utakosea zaidi ukianza kufosi au unpoanza kulalamikaNdio nilikua napiga sana
ana ujuaji mwingi sana tokea komenti yake yakwanza kwahuyu mgonjwa anauliza maswali ya kijinga halafu akijibiwa hana majibu ya maana kwa mgonjwaUkijua muda Eti itasaidia unataka kuaminisha nini.?
Mimi nimepiga nyeto mpaka nakutana mke wangu kwa uaminifu
Mpaka miaka kadhaa Baada ya ndoa ndio nikaacha
We unataka kupima urefu wa nyeto upate nini kwa mfano.!? π€
ππππDah, vitu vyangu hivi π₯°
NYeto haina uhusiano wa moja kwa moja na matatizo hayoMzee ulikuwa mpiga nyeto sana? Funguka upate msaada wa ukweli.
nani aliyekuambia unadharaulika? umejuaje unadharaulika kwa sababu huvuki dk 1?Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
watanzania hamna elimu sahii kwenye vitu complex. mnaunga unga tu hearsays za vijiweni. una uhakika wa kitaalamu kuwa sababu ya yeye kutozidi dk 1 ni punyeto?Mzee ulikuwa mpiga nyeto sana? Funguka upate msaada wa ukweli.
hamna Mbaga, siyo kikaksi hivyo... hebu legeza moyo wako usimkazie dogo in such a way.Achana na mapenzi, sio fungu lako, fanya ishu zngn
NaaamIla we jamaa πππ