zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
nani amekupa mamlaka ya kuwasemea wake zetu? who the *** are you btw??? binti, hao vijana wa 2000 wanacheza na wewe siyo wake zetu. go get a job, shithole.Wanawake kwenye ndoa zenu wanalalamika kwakwel taften dawa hawa vijana wa miaka ya 2000 wanacheza sana na wake zenu amini ivyo
si ajabu akiulizwa mkeo ukweli wa kauli hii atashangaa sana.Tunaozungusha 40 minutes tena round zaid ya 2 tunacheka tu πππ
Mkuu kwan wewe hujui kila mwanaume hapa JF anapiga bao kuanzia 3 kwenda juu? Halaf mimi sina mke, niliachwasi ajabu akiulizwa mkeo ukweli wa kauli hii atashangaa sana.
Yangu sio kauli ni swali, nimemuuliza aseme ndio au hapana.. ili tujue kifuatacho..watanzania hamna elimu sahii kwenye vitu complex. mnaunga unga tu hearsays za vijiweni. una uhakika wa kitaalamu kuwa sababu ya yeye kutozidi dk 1 ni punyeto?
Sawa mkuu.NYeto haina uhusiano wa moja kwa moja na matatizo hayo
Ndivyo ulivyoumbwa wewe ,usijilazimieshe ,kuna wa 1km ,kuna wa 5km kuna wa half marathoni na kuna wa marathoni ,kuna wa aliKIBA ,kuna Mandingo , kuna wa Harmoz na kuna wa Amboni ,binadamu tupo tofauti.Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Kwenye nyeto hapo hata mimi nakataa, sidhani kama inaweza kuwa sababu kwa kuangalia background. Kabla sijaacha hii kitu nimefanya over 10 years na sikuwahi ona effect yoyoteuna uhakika wa kitaalamu kuwa sababu ya yeye kutozidi dk 1 ni punyeto?
Ahahahahahah..umeongea kweli.Mtu anashauriwa afanye mazoezi ya pumzi!!
Pumzi ya kazi gani kama akichomeka tu wareno wanatoka?
Common sense tu:Nyeto ina nafasi kubwa ya kumfanya mtu achelewe au asipate kbs bao akiwa na Ke.
Sababu kwenye nyeto lazima ana-adjust mnato/size anayotaka wakati akiwa na Ke hawezi kukutana na kitu tight kiasi kile.
Hebu changamkia njoi ya mg 50 uone mambo.Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Tumia vitunguu swaumu tembe 6 kila baada ya siku 2 halafu njoo hapa useme neno. Mazoezi pia ni muhimuWakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Waulize wanawake, mimi ni dume la mbegu.
Kwamba nawe jogoo anawika, sawa broo.Waulize wanawake, mimi ni dume la mbegu.
Nyeto ipo kama bhangi mkuu..... bhangi kuna wengi wakivuta wapo fresh ila wengine adi wanavua nguo.Kwani Hawa wanapigaje nyeto Hadi inakua hivyo!!?
Mbona Wengine tulipiga sana lakini chuma inapeleka moto ipo wini speed 120 mkia juu kama ngiri 24/7
Aache kusingizia nyeto uyo aende hospital ana matatizo yake mengine
Tunatiana moyo mkuuSentensi tata sana hii.
Kwani amekwambia anaishiwa pumzi?Fanya mazoezi ya pumzi
Hebu tuone ilivyosinyaa!πππππNa imekua ndogo wakati ilikua kubwa hapo awali sasa imesinyaa
Afadhali iwe hvy tuu kuliko mambo ya kuuana kisa mapenzihamna Mbaga, siyo kikaksi hivyo... hebu legeza moyo wako usimkazie dogo in such a way.