Mpe kidumu acha wehu.Mfuatilie kwa ukaribu na hiop pesa ya kwenda kulipa binafsi uwe unaenda pale shuleni kwake unachangia maendeleo.Utakuja kunishukuru ukifanya hivi.Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Mkuu huku ni kumyima mtoto malezi angali bado mdogo na hili hupunguza ukaribu kati ya mzazi na mtoto.
Angalau angekuwa kidato cha Kwanza na kama kuna ulazima shule ya msingi basi yawe madarasa ya juu kuanzia darasa la 5 mpaka la 7.
Elimu na malezi ni vitu viwili tofauti!Mkuu hebu fikiria tatizo la kimazingira, wazazi ambao wanaishi mbali na huduma ya hizi shule tunazoamini zinatoa elimu bora, je watoto wao wasipate fursa kabisa ya kunufaika na elimu hiyo kwa sababu za kimalezi?
Huko anaenda kuwa shogaMkuu una hoja ya msingi nitaitafakari zaidi, kimsingi nikiangalia hata tabia za watoto wa hizi shule za umma ambao wanashinda na wazazi bado zinasikitisha kbs!
Hilo jua, kidumu na fagio pekee ni elimu toshaLipi ni jema sasa mkuu, apate elimu hii ya jua kali ili kulinda ukaribu wa mzazi na mtoto na malezi bora au aende akapate elimu itakayonjenga vizuri kuyakabili mazingira yake.
Wazazi wa kizazi kipya uvivu utatuponza na kupenda bataSerious
Wazazi wa kizazi hiki mna nini?????
Acheni huu ujinga leeni watoto wenu mpaka wajitambue ndipo muwapeleke boardingMkuu hoja hii ndio inayonidhoofisha, lakini ni kweli kwamba shule hizo za boarding hazina watoto, na je wote wamekuwa na tabia mbaya ama kupoteza 'bond'na wazazi wao?
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vyadema ni changamoto nchi hiiMleta mada lazima ni mfuasi wa Chadema siku zote hujiona wana akili sana kumbe ni kinyume chake.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Binafsi sishauri mtoto aanze kulala mbali na nyumbani walipo wazazi wake chini ya darasa la tano..!!! Sembuse chekechea..!! Huko ni kukimbia majukumu, in the name of KIMOMBO... Sawa, atakiweza hicho kimombo, lakini atachukua tabia nyingine mbaya, ambazo ukilinganisha na kimombo, bora tu aachane na kimomb...Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Haya mawazo ya kizembe huwa mnayatoa wapi? Halafu ukute wewe baba? Haya mawazo ya wanawake wapaka rangi kucha umeyarithi kwa nani?Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Hafu kwanini umchoshe mtoto tena hapo ni nursery wengine tumesoma shule za msingi za kawaida na tumefika chuo kikuu na tuko vzuri. Shida wazazi wa sasa kukwepa majukumu na wakishapata tuhela twa mboga wanaona kupeleka watoto boarding ni ufahari kumbe ni kutesa watotoBora aaende kidumu na mfagio kuliko kwenda kumpeleka mtoto wa nursery boarding school. Siamini pia kwa Tz hii kuna kijiji hakina hata nursery nzuri yani chaguo la kwanza na la mwisho ni kidumu na mfagio
Na wengine huenda mbali zaidi... MAVYAKULA YALIYOKAA KWENYE FRIZA MUDA MREFU WAO HUONA FAHARI KWAMBA KATOKA SUPA MAKETIII...Hafu kwanini umchoshe mtoto tena hapo ni nursery wengine tumesoma shule za msingi za kawaida na tumefika chuo kikuu na tuko vzuri. Shida wazazi wa sasa kukwepa majukumu na wakishapata tuhela twa mboga wanaona kupeleka watoto boarding ni ufahari kumbe ni kutesa watoto
Kabisa mkuu!Kwanza nakushangaa sana sana kwa hisia zako za kiuandishi inaonekana bayana mkeo kashakunywesha sumu ya kutoa mtoto nyumbani kwenda boarding.
..lakn majuto ni mjukuu............
...maskni mtoto[emoji22]
Henyi wazungu kwa nini mmeyaruhusu haya?????[emoji24][emoji24]
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Wazazi wengi wa hivi hawakwenda shule waone hyo experience ya boarding inavyo chosha, so wakipata tuhela kidogo tu wanaona boarding ni alpha na omega. Kiukweli Mimi nikikumbuka maisha ya boarding nilikuwaga Hadi nakonda ikikaribia shule kufunguliwa Hadi naugua. Niliapa mtoto wangu haendi boarding kizembeNa wengine huenda mbali zaidi... MAVYAKULA YALIYOKAA KWENYE FRIZA MUDA MREFU WAO HUONA FAHARI KWAMBA KATOKA SUPA MAKETIII...
Yaani vihela kidogo tu, mpare yeye kashaanza kuuliza KANDE NDIYO NINI..!!!