Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

Fakyuol

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
153
Reaction score
328
Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja
Ni TV za Hisense 55inches zote!!
Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha)
Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo

Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili ya replacement
Na motherboard pia!
Tv zote naona n made in south AFRICA
Ningependa pia kufaham namna ya ku order hzo bidhaa mbili kutoka kwa wazalishaji ikiwezekana mawasiliano yao ya moja kwa moja
N:b nko rorya vijijini kabisa! (Mara region)
 
Attachments

  • IMG-20250401-WA0000.jpeg
    IMG-20250401-WA0000.jpeg
    354.6 KB · Views: 41
  • IMG-20250401-WA0002.jpeg
    IMG-20250401-WA0002.jpeg
    321.9 KB · Views: 44
Sijakuelewa boss! Nachohitaji hapa ni kufanya replacements
 
Hio iliokufa motherboard sio issue sana sababu tv nyingi zilizokufa kioo zinatekelezwa unaweza pata machine ya ndani.

Hio iliokufa kioo most of time kubadili kioo gharama ina karibia tv mpya.

Pia watu hawawezi kukusaidia ikiwa hawajui exactly model za tv, angalia nyuma ya TV weka model zake kama mtu ana spea zake atajua.
 
Umefuatilia suala la hizi TV nyembamba sana ambazo ni edge-lit (LED ziko pale chini) kutokuwa na maisha marefu zikitumika kwenye high brightness setting kwasababu ya joto kukusanyika pale chini kwenye mkanda wa LED?

Samsung AU8000 60" nimeface hiyo... Nusu ya screen iko darker... Led inabidi zibadilishwe
 
Watu wengi wana report issue hio ya edge lit, ipo nje ya warranty? Nahisi hili tatizo linarekebishika bure kama una warranty.
 
Yeah nilinunua 2022 mwanzoni...
LED zipo locally au niingie aliexpress

Uzuri ukiwa kwenye actual content the problem is much less noticeable lakini najua its a matter of time
 
Watu wengi wana report issue hio ya edge lit, ipo nje ya warranty? Nahisi hili tatizo linarekebishika bure kama una warranty.
Jamaa wa r-tings.com walifanya durability test... Edge lit no one is safe japo AU8000 is worst offender ilikufa kabisa. Dawa ni kupunguza brightness mfano now natumia 20.
 
Angalizo :kama unatumia brand za kisasa kuoneshea mpira hakikisha TV zinapokaa hazihamishiki bandani ya unaposifunga au kuziweka ziwe hapo hapo na matumizi yawe kwa ajili ya mpira tu na sio kuziwasha washa chonga fremu kubwa kuzidi TV ziwe za kufunga na kufungua kama baadhi ya bar wanavyo fanya . Hakikisha TV zimekaa vzr na zimetilia ..ukimaliza unazifunga zako zile fremu zinakuwa na sehem ya kufuli kama banda lako halina mazingira hayo yaani wewe kila siku ni kuzibeba TV kuzihamisha hamisha utapata hasara kila siku nina uzoefu miaka 10 sasa
 
Jamaa wa r-tings.com walifanya durability test... Edge lit no one is safe japo AU8000 is worst offender ilikufa kabisa. Dawa ni kupunguza brightness mfano now natumia 20.
Hata reddit, subs nyingi za TV wapo against Edge lit za Samsung. Naziona Aliexpress kama $13 sijajua tu quality ni kama OG ama nazo zitadrop quality ya Picha/Mwanga.
 
Hio iliokufa motherboard sio issue sana sababu tv nyingi zilizokufa kioo zinatekelezwa unaweza pata machine ya ndani.

Hio iliokufa kioo most of time kubadili kioo gharama ina karibia tv mpya.

Pia watu hawawezi kukusaidia ikiwa hawajui exactly model za tv, angalia nyuma ya TV weka model zake kama mtu ana spea zake atajua.
Yaa weka specifications hapa usaidiwe
 
Hata reddit, subs nyingi za TV wapo against Edge lit za Samsung. Naziona Aliexpress kama $13 sijajua tu quality ni kama OG ama nazo zitadrop quality ya Picha/Mwanga.
Naomba ushare nami hiyo link... Mimi naziona kwa shida na shipping kubwa sana sijui nimekosea search terms
 
Tumia Google, sometime search za ndani za Aliexpress zina leta vitu vya ajabu ajabu

Thank you for the tip
 
Kama model zinafanana siufanye hivi hiyo iliyokufa kioo hutoe motherboard uwele kwenye hiyo nyingine then utakua na Tv Moja nzima then ununue tv ya pili
 
Back
Top Bottom