Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja
Ni TV za Hisense 55inches zote!!
Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha)
Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo

Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili ya replacement
Na motherboard pia!
Tv zote naona n made in south AFRICA
Ningependa pia kufaham namna ya ku order hzo bidhaa mbili kutoka kwa wazalishaji ikiwezekana mawasiliano yao ya moja kwa moja
N:b nko rorya vijijini kabisa! (Mara region)
Kuhusu kioo, ni bora kununua TV nyingine tu
 
Back
Top Bottom