Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Jun 24, 2025 #181 Busu la Kenge said: Siyo domo mkuu, kwani atakuwa manufaa hata kwako na familia yako mnaoishi uingereza kihalali. ππππ Click to expand... Siasa ni ngumu sana Huyu alikuwa anaunga mkono Brexit, lakini alikuwa hana dira baada ya hapo. Halafu mimi namuona kama wale wa far right Suala la Uhamiaji nalo ni pana sana halitaki papara. Uzalendo mkali sana mara nyingi huleta matatizo na chuki baina ya watu Ila nafikiri hata kujitoa kwenye jumuiya ilikuwa ni makosa makubwa Mambo mengi tumekosa Ila mimi ni Conservative ingawa nilichagua Labour wakati wa Blair
Busu la Kenge said: Siyo domo mkuu, kwani atakuwa manufaa hata kwako na familia yako mnaoishi uingereza kihalali. ππππ Click to expand... Siasa ni ngumu sana Huyu alikuwa anaunga mkono Brexit, lakini alikuwa hana dira baada ya hapo. Halafu mimi namuona kama wale wa far right Suala la Uhamiaji nalo ni pana sana halitaki papara. Uzalendo mkali sana mara nyingi huleta matatizo na chuki baina ya watu Ila nafikiri hata kujitoa kwenye jumuiya ilikuwa ni makosa makubwa Mambo mengi tumekosa Ila mimi ni Conservative ingawa nilichagua Labour wakati wa Blair
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Jun 24, 2025 #182 Safari hii baba la magaidi limefikiwa, lita tapatapa ila mwisho wa siku litakata moto tuu!
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,234 Reaction score 28,473 Jun 24, 2025 #183 Odense said: Uongo Click to expand... Kalaga bhao, mlango wa GEREZA umevunjwa, wateswa wa kisiasa wapo huru huko Tehran.
Odense said: Uongo Click to expand... Kalaga bhao, mlango wa GEREZA umevunjwa, wateswa wa kisiasa wapo huru huko Tehran.
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,348 Reaction score 15,205 Jun 24, 2025 #184 MamaSamia2025 said: Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio Click to expand... Maajemi ya Mchambawima na Mayahudi ya Kiponzelo hayajui hilo, ni ushabiki tuu wakati wao wanatengenezewa maumivu makubwa baadae.
MamaSamia2025 said: Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio Click to expand... Maajemi ya Mchambawima na Mayahudi ya Kiponzelo hayajui hilo, ni ushabiki tuu wakati wao wanatengenezewa maumivu makubwa baadae.
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Jun 24, 2025 #185 Odense said: Hio sentesi ya mwisho iwafikie majasusi wote wa jf wanaowakilisha iran/israel huku namtumbo Tz. Click to expand... Hivi kwann useme namtumbo... Na sio mbagala au chanika mkuu πππ
Odense said: Hio sentesi ya mwisho iwafikie majasusi wote wa jf wanaowakilisha iran/israel huku namtumbo Tz. Click to expand... Hivi kwann useme namtumbo... Na sio mbagala au chanika mkuu πππ