Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

Safi sana Mkuu upo makini.
 
Hahaha hii story yako ume itoa kwenye ni clip moja ipo toka zamani niki ipata taiweka apa , ila ni jambo jema kutu kumbusha
 
Iko possible mkuu, watoto wanapocheza cheap na huja lock mirango.
Wanaeza kusa sehem zenye ziqaweza kufungua mirango. .
Dereva usihisi chochote mpaka ushituliwe na watu WA nje??
 
Ilinitokes siku moja, mtoto mtundu aliondoa lock, bahati nzuri niliwahi kugundua na sikuwa katika barabara kuu
Hongera Sana Mkuu umakini unahitajika sana watoto hawatulii ndani ya gari.
 
Ulimuonesha kwamba umekwazika na kauli yake? Sio kila siku atakuwa kweli gari lako na dereva.
 
Hatari Sana Mkuu wengi wao hawapo makini kabisa.
 
Shangaa na Wewe mlango WA nyuma ufunguke mtoto achomoke kwenye gari Wewe dereva usijue mpaka uje ushituliwe na bodaboda 🤔🤔🤔🤔???
Inawezekana Mkuu ingia hata YouTube Kuna clip nyingi za cctv zinaonesha watoto wakifungua milango wakati wazazi wanaendesha alafu utaelewa vizuri hii.
 
Sijawahi kua na amani wala kuvumilia pale ninapoongozana na gari inayoendeshwa na mwanamke. Lazima nimkate au nipaki tu nimuache aende. Na sijawahi kurndesha na mwanamke zaidi ya umbali wa 20km. Siwaamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbona mimi dereva mzuri sana.
 
Shangaa na Wewe mlango WA nyuma ufunguke mtoto achomoke kwenye gari Wewe dereva usijue mpaka uje ushituliwe na bodaboda 🤔🤔🤔🤔???
Uwezo wa Mwanamke kunusa hatari ni mdogo sana. Hapa mnaelekezwa unaona kama mizaha. Siku likimkuta mwanao ndio unakuwa kama huyo mwenzako, unaishiwa nguvu huwezi kusimama.
 
Hahaha hii story yako ume itoa kwenye ni clip moja ipo toka zamani niki ipata taiweka apa , ila ni jambo jema kutu kumbusha
Sawa Mkuu na wewe utuletee story yako yakutoka kwenye clip moja ya zamani.
 
Ni ujumbe mzuri unaoelimisha ila hiyo ya kua hiyo imetokea kwenye safari zako umetupiga mkulungwa.

Hiyo clip ipo ni ya muda mrefu.
😀 Mkuu Sina Cha kukujibu . Ila kama clip zipo nyingi usitupige na wewe.
 
Mbona kama unasimulia video clip niliyoiona muda mrefu na mazingira ni hayohayo ila we unasema umelishuhudia tukio jana itakua limejirudia tena
 
Nunueni gari mzuri Alphad ukiwa unaanza kuondoka tu ina piga lock milango yote mimi sikumbukagi kulock ila alphad ina saidia sana ina lock milango automatic tu
 
Hapo angeweka Child lock, milango ya nyuma haiwezi kufunguki kwa ndani.
 
Mbona kama unasimulia video clip niliyoiona muda mrefu na mazingira ni hayohayo ila we unasema umelishuhudia tukio jana itakua limejirudia tena
Inawezekana Mkuu hata clip pia nimeziona nyingi sio moja watoto wakifungua milango wakati wazazi wanaendesha gari (zipo YouTube cctv).
 
Hapo kwenye simu ndipo penye tatizo kubwa kwa sasa, watu wengi wanaoendesha vyombo vya moto wamelewa na matumizi ya simu wawapo barabarani...yaani kuna wengine husimama katikati ya barabara ghafla ukiwachungulia wanabonyeza simu na hakuna dharula yeyote barabarani, wengine utakuta Hadi wanafika eneo la kuchepuka hawawashi indicator na wanawashia hapohapo anapochepukia yaani anawasha muda huo huo na kuchepuka...wapo busy na simu wanapoendesha.,tatizo ni kubwa sana yaani barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…