Wakuu ukamalia sio kazi, Kila siku nawaambia, acheni kubeti!


Baada ya kusoma nyuzi mbalimbali zinazozungumzia mambo ya biashara na mambo ya dark side,niliamini hata hawa watu wa betting lazima watakuwa kwenye dark side,kwahyo mechi mbali mbali na wewe mwenyewe mkamalia wanawacontrol ndo maana unajikuta wakat mwingine unasuka mkeka tofauti na ulivyokuwa umepanga na una loose
 
😁😁😁😁😁😁 wee khalifa mara ngapi nakwambia hama iyo kampuni ya bet pawa jau
 
Kaka huko kote nilishaoita na nikachapwa sana.. hiyo ni account tu Moja ya petpawa Tena Airtel, sijakuwekea na voda, sijakuwekea betslips za 1xbet,spotpsa, premierbet, na takataka zingine nyingi yani ni kilio
Kama ndio hivyo acha hiyo kazi haikufai.
Hiyo kazi haifanywi hivyo hufanyavyo wewe.
 
Kuna watu hawabet, hawanywi pombe, sio malaya, hawavuti lkn maisha yao bado ni magumu, kupanga ni kuchagua usikariri
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 hivyo basi atakaye sikia na asikie
 
Jaribu kucheza aviator mkuu utapiga miela na kuuaga umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…