jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wengi wana beti kwaajili ya kutoka kimaisha wengi utakuta mtu ana beti kwa kutaka kununua assets sasa kwa utaratibu huo huwezi kutimiza malengo kwa kubeti, Mimi na beti utakuta na kula pesa kwakua nilibeti bila kuwa na Malengo utakuta pesa ninayoshinda ipo tu kwenye Account, Sasa ukijaribu kubeti ili ule ukanunue TV au Bajaji au ukalipe kodi au Madeni Nakuakikishia vijana tutapoteza pesa kila siku bila kuzirudisha.Kama unaamua kufanya fo fun endelea... bt ni kujikaribishia msongo wa mawazo
Mimi nimejiwekea utaratibu bora ni beti kuliko pesa yangu kuliwa na Mwanamke Mimi naonga betting.