Wakuu ukamalia sio kazi, Kila siku nawaambia, acheni kubeti!

Kama unaamua kufanya fo fun endelea... bt ni kujikaribishia msongo wa mawazo
Wengi wana beti kwaajili ya kutoka kimaisha wengi utakuta mtu ana beti kwa kutaka kununua assets sasa kwa utaratibu huo huwezi kutimiza malengo kwa kubeti, Mimi na beti utakuta na kula pesa kwakua nilibeti bila kuwa na Malengo utakuta pesa ninayoshinda ipo tu kwenye Account, Sasa ukijaribu kubeti ili ule ukanunue TV au Bajaji au ukalipe kodi au Madeni Nakuakikishia vijana tutapoteza pesa kila siku bila kuzirudisha.

Mimi nimejiwekea utaratibu bora ni beti kuliko pesa yangu kuliwa na Mwanamke Mimi naonga betting.
 
Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko.

Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani, option zote zipo kichwani lakini vichapo kwenda mbele...

Nawashangaa sana vijana wanashupaza shingo kwamba betting ni kazi, vijana acheni ujinga huo fanyeni kazi zinazoeleweka hata kama kipato ni kidogo acheni tamaa ya kuwaza vitu vikubwa matokeo yake ndio kama hayo unajikuta hata hicho kidogo ulichonacho unakipoteza.

Tangu nijiingize huko nimepoteza pesa nyingi sana ambapo ningeifanyia kazi ningekuwa mbali sana. Nashukuru ni mwaka sasa sijatia Tena pua huko na matokeo yake nimeyaona ktk uchumi wangu. Vijana chonde chonde acheni kubeti inakufirisi uchumi, akili, hata familia Yako inaitawanya!
View attachment 3193112View attachment 3193113
Kwa hiyo ukiandikiwa LOST, LOST, ndiyo mkeka umechanika!!
Aisee! Ila unaonekana kubet iikuwa siyo kipaji chako. Haiwezekani LOST ziwe nyingi kiasi hicho. LOST, LOST!!
 
Unabet buku 5, 5 alafu unakuja kujiliza hapa

Kwanza Kuwa finacial stable, ndio uingie huku
 
Betting ni mchezo wa kishetani ulioingizwa Kwa Siri duniani na masonry,

Nia ni kupingana na neno la Mungu lisemalo, asiyefanya KAZI na asile.

Sasa betting inawaaminisha vijana kuwa, unaweza usifanye KAZI na ukala mkeka,

Betting ni laanatul!!
 
Wengi wana beti kwaajili ya kutoka kimaisha wengi utakuta mtu ana beti kwa kutaka kununua assets sasa kwa utaratibu huo huwezi kutimiza malengo kwa kubeti, Mimi na beti utakuta na kula pesa kwakua nilibeti bila kuwa na Malengo utakuta pesa ninayoshinda ipo tu kwenye Account, Sasa ukijaribu kubeti ili ule ukanunue TV au Bajaji au ukalipe kodi au Madeni Nakuakikishia vijana tutapoteza pesa kila siku bila kuzirudisha.

Mimi nimejiwekea utaratibu bora ni beti kuliko pesa yangu kuliwa na Mwanamke Mimi naonga betting.
Hasa hilo ndio inatakiwa... mtu anafanya betting kazi...
Ww unabet huku umerelax ikitokea umelost bado hutoki kwenye leri.

Mtu anayebet kazi anajikuta anafukuzia faida tu. Akilost anapanic. Anatafuta odd kubwa ili apate faida huku akisahau pia kuna kupoteza.

Leo anabet odd mbili akiliwa kesho anabet odd tano.

Badala ya kubaki kwenye mbili.

Cha kwanza tufanye kazi betting sio chanzo cha mapato cha uhakika.
 
Uoga tu,ukipunguza tamaa ya kula milionea na ukahitaji kula Elufuonea mbona utainjoy beti.
Ila beti Yako,iwe kama unacheza game ya kujifurahisha na sio chanzo Cha mapato.

Weka odds zako 2 timu 2 Hadi 5
Tia Cha 20000,unalamba 70000 au 90000
Zone kama utakuwa unalia.

Sio unaweka timu 20 Hadi 40 kwa buku afu utegemee ule 2k au 4k sahau
 
Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko.

Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani, option zote zipo kichwani lakini vichapo kwenda mbele...

Nawashangaa sana vijana wanashupaza shingo kwamba betting ni kazi, vijana acheni ujinga huo fanyeni kazi zinazoeleweka hata kama kipato ni kidogo acheni tamaa ya kuwaza vitu vikubwa matokeo yake ndio kama hayo unajikuta hata hicho kidogo ulichonacho unakipoteza.

Tangu nijiingize huko nimepoteza pesa nyingi sana ambapo ningeifanyia kazi ningekuwa mbali sana. Nashukuru ni mwaka sasa sijatia Tena pua huko na matokeo yake nimeyaona ktk uchumi wangu. Vijana chonde chonde acheni kubeti inakufirisi uchumi, akili, hata familia Yako inaitawanya!
View attachment 3193112View attachment 3193113
Sema umepumzika tu, kubet huwezi acha kizembe ivo ,wew jitafute kwanza uzipate mbona utarudi tu chamani
 
Nizipate kama sh. Ngap? Na ww unaebet mpaka sasa umezipata ngapi?
 
Mpuuzi kama ww unakuta hapo hata saving ya mil 1 huna ila unabwekabweka nyuma ya keyboard
Unabet buku 5, 5 alafu unakuja kujiliza hapa

Kwanza Kuwa finacial stable, ndio uingie huku
 
Kwa hiyo ukiandikiwa LOST, LOST, ndiyo mkeka umechanika!!
Aisee! Ila unaonekana kubet iikuwa siyo kipaji chako. Haiwezekani LOST ziwe nyingi kiasi hicho. LOST, LOST!!
Kweli si kipaji changu
 
Back
Top Bottom