Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sister unaweka point zako kanakwamba wanawake hawaumwi wala kufa na nimalaika duniani. Jitafakari point zako, hazitetei hoja yako ya maisha in reality. Maisha uliyoyaona wewe, kuna watu wameona yaupande wake wa kushoto hivyo acha kutengeneza point kwakumuweka mwanamke lazima yeye ni mwenye nguvu na anayependwa na watoto sana. Tumeshuhudia watoto wanaochukia wamama zao. Hivyo jenga strong point ya reality sio ya Disney World. [emoji23][emoji23][emoji23]Waambie hao kuwa na familia karibu na kuipanda tokea zaman ni muhimu,lakin et unazaa tu watoto huishi nao wanakuwa wanakuona wa kawaida tu ,wazee wengi ambao hawateseki ni wale walolea familia zao na wake zao pamoja hata wakiumwa hutunzwa,huyo nurse atakupa dawa tu na sio kuKusimiamia kama mkeo au mtoto