Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

mkuu, juzi nimekumbana na mzee mmoja, hana msaada analialia kama mtoto, nilipouliza mama/mzee mwenzake au watoto wake wako wapi, nikaambiwa jamaa alikuwa bitozi enzi zake hakutaka kuoa. sasa hivi uzee umemshukia, sukari imemkaba, macho hayaoni vizuri, majuto aliyo nayo anatamani arudishwe ujana arekebishe alipokosea
Sasa sukari na uwepo wa mke unahusiana vipi?
Kwanini kwenye uzee wa mwanaume mnaweka picha mbaya za ugonjwa, vifo, umaskini?.
Nimeshuhudia wazee watatu tofauti Wana maisha mazuri kuliko wale walio oa.
 
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kibaya kama upweke ndio mana mungu hakuwa bwege kumpa Adam mwenza wake ambae ni Eva so uyo mwenye nyumba wako subili maradhi yaanze kumsumbua ndio tutajua hizo pesa zake zitamsaidia au lah
Mkuu Hawa wanawake wasio olewa upweke kwao hauwasumbui?
Ebu ni ELIMU kidogo.
 
Mleta mada wasitkutishe. Watu wameoa still wanatukanwa na wake zao eti "Wee msenge nini"

Yaani mke wako anakutukana wewe ni msenge!!!

Waliooa Wana mazito sana vifuani mwao. Hawana amani ya nafsi 😂
Na hawawezi kusema,
Kuna watu wanafikiria,mke ni mtakatifu.kwamba kila kitu ni heri.
Aliposema ishi na mwanamke Kwa AKili, hakukosea
 
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.

Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa.

Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule msimamo wangu ya kwamba Maisha ya Mwanaume ili yawe Marefu kwa zama hizi aachana na hizi ndoa. Hutoua/Kuuawa/Kujiua.

Je wale wenzangu Lifetime Bachelors tupeane Mbinu zipi katika maisha yetu ya ubachela?

Uzi tayari!

cc: Liverpool VPN
Nakazia. Na kama ukiamua kuoa OA WA wawili au watatu!
 
Mnafurahisha 😂😂😂

Okei unahela yes, una watoto yes hujaoa hatujakataaa and of course kila mtoto na mama yake

Hivi wewe unaleta picha gani kwa wanao? yaani hata watoto wanakuhesabia wewe muhuni tu utawaambia nini 😂😂

Wewe kila mwezi unabadilisha wanawake tu nani atakuheshimu?

Ndoa inaheshimisha acheni kuiga wazungu

Oeni mpate kuheshimiwa na jamii zenu, kutokukuoa na unajigamba u got money unahesabika ka muhuni tu and top cursed.
Hivyo unaoa kwa sbb ya heshima?
Au Kwa sbb uzeeni utapata Shida?
Sasa hivi jamii inakuheahimu kama una kipato tu, sio Kwa sbb una mke Wala mume.
Zama hizi kila mtu APIGANE vita vyake
 
Ninamuona Baba mwenye nyumba wangu ana 50+ hana Ndoa na wala hana huo mpango, ana Mtoto mmoja yupo Marekani,
Anasema shida zake za mwili huzimaliza kwa mwezi mara moja kwa dau la elfu 30 tu hazidishi,

Anajipenda sana, ana ujana mwingi na kwake kapangisha wasela tupu hataki familia,

Nguo anafua kwenye washing machine,
Jioni lazima aende baharini anasema anapata tiba ya akili, "bahari inaongea kama ukisiliza mawimbi vizuri"

Ukimuona ana furaha ila kuna watu wanahisi ni mpweke.
Good
 
Ni watanzania wangapi ikitangazwa wenye hela wasimame watasimama bwana? Wengi wetu ni waganga njaa tu hatuna pesa za kusimama na kujionyesha. Ndio nikasema, kama umeoa mwanamke mwenye matusi mda wotw analeaje hao watoto wenu?

Ndio nilikuwa nawaambia wangapi huzeeka hata na milioni 50 au mia wanajimuambafai eti pesa zao zitawasaia na nurse care
 
Ndio nilikuwa nawaambia wangapi huzeeka hata na milioni 50 au mia wanajimuambafai eti pesa zao zitawasaia na nurse care
Wengi wetu tunaganga njaa maisha yaende, ukifanikiwa sana umejenga kajumba na kagari hapo ndio utasikia anasema "tafuta pesa mkuu", utafikiri yeye anamiliki yatch au ana mijumba kadhaa!!

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, ndoa imara huleta jamii yenye maadili.
 
Wengi wetu tunaganga njaa maisha yaende, ukifanikiwa sana umejenga kajumba na kagari hapo ndio utasikia anasema "tafuta pesa mkuu", utafikiri yeye anamiliki yatch au ana mijumba kadhaa!!

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, ndoa imara huleta jamii yenye maadili.
Waambie hao wanadhan kama wazee wa kizungu huwa wana pesa wametunza za uzeen lakin sisi utajiri ni familia na hizo pesa ndogo ndogo za kula,eti wanasema mwanamke anakuja kuchukua mali mali zipi 😂😂😂
 
Post #266 nimeweka sababu chache ktk nyingi za kuwa na mahusiano ya ndoa ila zaidi kama hukunielewa muulize baba yako atakuwa atakuwa na nafasi nzuri ya kukuelewesha.

NB:ktk maisha humu mitandaoni pita kwa kuchuja sana hoja za watu,mimi nipo Jamiiforums huu mwaka wa 11 wamekuwepo watu wakianzisha mada za kudhihaki vitu serious kama hivi ktk maisha kisha wanarudi humu kuomba ushauri kuhusu yale yale waliyokuwa wanayakataa,ni kusema wengi humu wana-fake life sasa wewe nenda kizembe uwe bwege.
Kujilinda na UTI
Kupata utulivu wa maisha


Hizo [emoji3516][emoji3516]hoja ndio zinakufanya uoe
 
Mnavyozungumza utafikiri wazee wote huwa wana akiba uzeen
Hao mbona nimesema hapo kwamba walifanya kosa la kiufundi. Usifanye masikhara pesa kwa mwanaume ni kila kitu. Utatekeleza vipi majukumu yako ya msingi kama kiongozi wa familia bila pesa?

Tena ukiwa mzee pesa ndio muhimu zaidi. Mwanaume haupaswi kuweka rehani kwa watoto wako siku zote hakikisha unapoihudumia familia una-backup financial plan incase mke wako akihamia kwa watoto wake uzeeni.
 
Back
Top Bottom