Ronaldo mpaka Sasa anawatoto zaidi ya watu lakin hajaoa ila katafuta mwanamke wa kimzalisha kwanin ...
Wakili wake alishamshauri na kumpa maoni kuwa ndoa ni scam na wanawake wote dunian wanaingia kwenye ndoa Kwa lengo la kuhudumiwa Bure Bure ,mwisho wa siku wanapataa tamaa na kuhitaji mali ambazo hawajazitolea jasho ...
Hivyo basi ni vzuri kuepuka ujinga wa kufunga ndoa ili kukwepa mambo ya kugawana mali ,pindi ndoa inapovunjika , taamaa za wanawake ni za hali ya juu kabisa ....
Wanawake wengi wanapata pesa haramu ( pesa yeyote unayopata Bure bila kuifanyia kazi ni haramu ) ,Kwa sababu pesa ni reward of soving someone problem,ila wanawake wanapenda kugawana mali za wanaume ambazo hawajachangia hata tone la jasho ...
Tunapoelekea tutaanza kufunga ndoa za mkataba ,na kuwekeana sheria ,maana vifo vya wanandoa na wapenzi havitakuha kuisha .......
Huwezi kuja kiholela tu unakuta Nina mali ,biashara ,nyumba ,magari ,nakuoa unazaa na Mimi mtoto mmoja ,then unaleta timbwili tuachane nikupe taraka tugawane pasu mali ,huu ni uhujumu uchumi na ujinga ,ulaya walishalijua Hilo ....na wanawake wengi wanaingua kwenye ndoa kimkakati .......huku Africa watu wanaishia kupigana risasi tu ila kama wangekuwa na mkataba walaa yasingetokea .......
Kuolewa siku hizi ni biashara,wanawake wanaingia kwenye ndoa kimkakati , ndio maana hakuna mwanamke anayeolewa na masikin ,masikini wote wanakimbiwa kama ukomaa ,wote wakotayari kuolewa na mwanaume mwenye hela .....kiufupi hakuna mapenzi ila Kuna biashara ..,...!!
Hakikisha kabla ya kuoa unatumia akili kuliko hisia ,ikiwezekana na mkataba kabisa uhusike ,maana binadamu by nature humchoka mwenzake ,na akija kupata mawazo ya kuachana na wewe ni kuachana salama bila tatizo....