version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Na nyinyi ambao uanaume wenu upo attached na wanawake ndo huwa mnajinyonga mkiachwa, au mnakuwa radhi kuwa watumwa kwenye ndoa zenu kwa kuhofia ukiachwa utaishije.
Mwanaume unakiri kabisa kuwa haukuwahi kuuona umuhimu wa kuzaliwa mwanaume mpaka pale ulipokuwa na mwanamke, bado unajiona upo sawa? Kwahiyo bila huyo wife wewe si lolote si ndio? BETA MALE😄.
MWANAMKE NDIE ANAPASWA KUWA DESPERATE NA NDOA sio wewe mwanume, fullfill your purpose
kwa mimi nilipokuwa na familia ndipo nilijua maana halisi ya kuwa mwanaume ila haimaanishi definition yangu ifanane na yako...so mwisho wa siku you have to live your lifeNa nyinyi ambao uanaume wenu upo attached na wanawake ndo huwa mnajinyonga mkiachwa, au mnakuwa radhi kuwa watumwa kwenye ndoa zenu kwa kuhofia ukiachwa utaishije.
Mwanaume unakiri kabisa kuwa haukuwahi kuuona umuhimu wa kuzaliwa mwanaume mpaka pale ulipokuwa na mwanamke, bado unajiona upo sawa? Kwahiyo bila huyo wife wewe si lolote si ndio? BETA MALE😄.
MWANAMKE NDIE ANAPASWA KUWA DESPERATE NA NDOA sio wewe mwanume, fullfill your purpose bila kutegemea mwanamke.
Change OR Perish.