Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hivi kwanini mnapojadili swala la kuonesha umuhimu wa ndoa mnatumia point za kuumwa?hayo yote ni ya maana ukiwa na relationship na watu wako wa karibu sana-mke, mtoto/watoto. kwa sasa utajigamba tu kwa sababu una nguvu na unapesa na una nguvu za kuitumia. wait when you are old, ndipo utatambua. Waulize wazee watakujaza ufahamu zaidi.
Binafsi naona kabisa zipo hoja zenye mashiko za kumshawishi mtu na akakuelewa zaidi ya hizo habari za mtu kuoa kuhofia kuumwa au mtu wakumsaidia pindi akizeeka
Kama nawewe upo kwenye ndoa kwasbabu hizo basi unatakiwa ujitafakari sana na pengine ufanye kila uwezalo mke wako asijue kama yeye yupo hapo kama backup tu, hana umuhimu mwingine zaidi ya hilo.