Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sister unaweka point zako kanakwamba wanawake hawaumwi wala kufa na nimalaika duniani. Jitafakari point zako, hazitetei hoja yako ya maisha in reality. Maisha uliyoyaona wewe, kuna watu wameona yaupande wake wa kushoto hivyo acha kutengeneza point kwakumuweka mwanamke lazima yeye ni mwenye nguvu na anayependwa na watoto sana. Tumeshuhudia watoto wanaochukia wamama zao. Hivyo jenga strong point ya reality sio ya Disney World. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakizazi na jamii ya sasaivi sikweli. Mke au mchumba hudemand vitu vingi sana kuliko gharama ya kiasi fulani kwa wiki mbili au mwezi.
 
Hii ndio point ya kutetea hoja sasa, sio kusema sijui mwanamke atakufanyia hivi sijui vile. Ndoa zimevunjika nyingi, wanawake wamekimbia familia zao na wanawake wamewageuza watoto wao against baba zao. So never guarantee maisha yako kwa binadamu hasa mwanamke wa kizazi hiki.
 
Unaowa mwingine hata hili hulijui?

Maswali gani haya unauliza?sasa napata picha nabishana na watu wenye upeo gani
Basi hujatimiza lengo halisi lakuoa maana wasema hicho kitu in simple terms. Kama unaoa ili utunzwe, hamna tofauti na anayelipia services ili atunzwe, yaani it's never different. Mke anayekuheshimu ndiyo atakutunza kwasababu anakujali ila simke ilimradi mke. Tulizana na hoja za kitoto. You just exchanged the name nurse to wife. Nothing new!
 
Sista kumbuka mlianza kuwakataa kwanza ndio maana kila mtu akaona apite njia yake. Picha mlilianza kwakuharibu mila za ndoa, sasa mmeenda kwenye njia zenu, kwanini nyie mnawazuia wasiende kwenye njia yao. Kumbuka mambo mengi yanayofanywa na wanawake miaka hii wameiga kwa wazungu na ndio wakaharibu institution ya ndoa sasa kwanini yeye akienda njia yake mwampinga? Hilo swali lazima ujiulize
 
Hapo chief nakukatalia! Tupo mahospitalini, sio sample ndogo nausije ukawaza hivyo hata kidogo. Kwakizazi hiki mwanaume kuikimbia ndoa sitamzuia kamwe. Tumeona wengi sana, wewe ndio umeona wachache chief. Ulichokiona doesn't mean it's the complete set.
 
Sista hata hizo huduma ulizozitaja wanawake hawazifanyi kwasasa mkiwa ujanani ndani ya ndoa maana kila mmoja huenda kazini. So hakuna jipya hapo chief.
 
Kwakutafakari hilo andiko, jewaamini ndoa zasasaivi zimejengwa kwamsingi huo chief?
 
Utaoa tu ndugu muda ukifika, hata kwa kuchelewa utaoa tu.

Wanawake wengi wanaweza kuishi bila kuolewa lakini si kinyume chake.
This part is never true, asipo olewa jua atadanga na atakuwa na many male friends ambao hufikia hatua ya kulala nao ili kutimiza haja zao au vitu mbalimbali.
 
Asante familia hutengenezwa tokea kwenye mzizi ukitengeneza familia yako vizuri watoto wako hawatakutupa au mkeo
Vijana siku hizi wanaogopa majukum na kulea familia
Hapana wanaogopa kwasababu ndani ya ndoa mmejiprioritize nyie kuliko uhai wa familia ikiwemo mume mwenyewe. Mnaona mume ni dispensable product chamuhimu ni wewe na watoto nahasa wewe mwanamke mwenyewe maana sinashida na kuprioritize watoto.
 
Mkuu, ndoa inaheshimiwa kwasasa kwauasherati wote unaoendelea, kweli unaamini ndoa inaheshimiwa. Tena mwanamke ndio majukumu yake hayataki kabisa, maana yeye ni mwanaume pia. Usiwalazimishe kuingia kitu ambacho wameona madhara yake kwamacho tena tangu mahusiano.
 
sawa mwaya, merry christmass 😊😍
 
KUOA HAKUJAWAHI KUPUNGUZA UGUMU WA MAISHA ILA KUNAONGEZA STRESS KWENYE MAISHA ULIYO NAYO...! Ukiwa mwenyewe unaweza kulala njaa ilaa una mtoto ndani na mkee aiseee utajua nini maana ya maishaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…