Kama cku yako imefika utakufa tuh regardless uko peke ako au na mtu.Utofauti ni mkubwa mno. Mkiwa wawili hadi ufe utakuwa umeshafanyiwa taratibu za matibabu. Mpengine upone. Peke yako unazima tu kama mshumaa
Kichwa cha uzi kinasema "tupeane mbinu za kuendelea kuishi kibachela " afu kuna wajinga wanakuja kusema "kuoa n lazma" hv hawa watu naona ndoa zmetikisa kabisa mizizi ya akili zao. Hawajaitwa ila wanakuja wamejaa povu.I'm glad I've wrote one the greatest thread.
No assets will be lost in divorceDangote,mike adenuga,chief adeleke, prince Ned nwoko(ndoa ya mkataba na wake 6 no assets will be lost in divorce) hao ni Nigeria ambayo ni Africa haya bongo (mondi,Fred vunjabei,Rostam) hio ni bongo haya worldwide (Elon musk,bezos,bill gates,) bado unapinga na wengine shida si famous hata nikikutajia huta wajua #Kaa CHONJO#
Fear of Insecurities inakusumbuaKuna kiburi Cha uhai na kiburi Cha kuwa na afya Ila Mungu alijua wapi atukamatie utaruka ruka wee hujui ni kuanzia miak 27 au 30 au 60 afyayako itakuwa haieleweki na hizo pesa hujui utakuwa umepata au lah
Yaan hawa pro marriage wanaruka ruka tu kuokoteza point hawana lolote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara miaka 25 utaugua, mara uzeen utakosa msaada yaan hawajui nn wanakiongeleaKwahiyo mwanaume akiwa na mke nakuwa na guarantee ya kuyaepuka yote hayo?
Yani mke ana play part ipi haswa katika kuyaepusha?
Kaa chonjoHuu Uzi nausoma tu.
Nilikuwa team A saivi nimehamia Team B baada ya kupata kimwana mtoto aliyetayari kuishi na Mimi kwa shida na Raha
Anyway itabidi niwe observer Siwezi tia neno kwa Sasa. I need to experience this other side of life. I never know something good will happen to me
Never say never.
Fala huyo pumba talker [emoji81]Kumbe ukioa ndo unaepuka dhambi duuuh pole kwa kua una akili mgando sana. Hawa waume na wake za watu tunaopishana nao kila sku kwny corridor Za guest houses kumbe wanakuaga wametoka kuepuka dhambi
Hii dini ya bachellors hapa bongo ipo?? Nataka nijoin asapKuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi, watu wasitishane. Mbona mapadre na masista hawaoi wala kuolewa na hatuwaoni wakiteseka huko uzeeni?.
Ukiishi maisha ya ubachela ishi kwa nidhamu na mikakati. Jiunge na mrengo kwenye dini yako, jiunge club moja wapo unayoishi msimamo wao, fanya kazi au biashara zako vizuri. Kusanya utajiri na uutumie huo utajiri.
Kama una mtoto au watoto wape elimu nzuri, pia tafuta vijana kadhaa wanaotoka familia masikini ila wana hari na elimu kisha wapige sapoti kama wanao, hao ndio hadhina yako huko uzeeni.
Sasa watu wanadhani tukiamua kuishi maisha ya ubachela basi ni wasela wasela, ubachela hadi dini zipo zinazouelewa na kuufanya ngazi ya kiimani.
Kuwa bachela, fanya wajibu wako kwa Mungu na jamii. Utaishi kwa furaha sana.
Mmmh mbona usiseme [emoji3467]Msiotaka kuoa ndio mnasababisha sabuni kupanda bei
Ndoa ni taasisi nyingine ya kimaisha kama familia hata taifa. Ukiingalia kwa ufinyu na upande wa mabaya utaichukia kwa sababu ya uvivu wa kufikiri au sababu fichi. Kwanini uchukie ndoa na si binadamu? Kwanini huangalii wale ambao ndoa zimewakoa na kuwakuza? Huwezi kuhukumu taasisi nzima kwa sababu ya matukio machache na ufinyu wa kuyadurusu mambo. Kama hivyo, jichukie wewe kwa vile nawe ni mwanadamu? Je ulizaliwa nje ya ndoa? Kama la hasha, fikiria ungekuwa wapi bila ndoa.Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.
Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa.
Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule msimamo wangu ya kwamba Maisha ya Mwanaume ili yawe Marefu kwa zama hizi aachana na hizi ndoa. Hutoua/Kuuawa/Kujiua.
Je wale wenzangu Lifetime Bachelors tupeane Mbinu zipi katika maisha yetu ya ubachela?
Uzi tayari!
cc: Liverpool VPN
Mahakama inapomhukum mtuhumiwa kwenda jela miaka 100 huwa inafocus kukomesha lile kosa au kumkomesha mtuhumiwa?Ndoa ni taasisi nyingine ya kimaisha kama familia hata taifa. Ukiingalia kwa ufinyu na upande wa mabaya utaichukia kwa sababu ya uvivu wa kufikiri au sababu fichi. Kwanini uchukie ndoa na si binadamu? Kwanini huangalii wale ambao ndoa zimewakoa na kuwakuza? Huwezi kuhukumu taasisi nzima kwa sababu ya matukio machache na ufinyu wa kuyadurusu mambo. Kama hivyo, jichukie wewe kwa vile nawe ni mwanadamu? Je ulizaliwa nje ya ndoa? Kama la hasha, fikiria ungekuwa wapi bila ndoa.
Nyie akina nani? Mahakama inamhukumu mtu na si kosa. Hujaelewa vizuri. Mahakama inamtazama mkosaji siyo kosa. Ndiyo maana ili kosa la jinai kutendea lazima kuwepo na mambo mawili yaani mens rea au nia ovu na actus reus au kitendo ambavyo vyote ni vya mkosaji na si kosa alilotenda. Nadhani kwa maelezo mafupi haya utakubaliana nami kuwa tuangalie wahusika na si taasisi.Mahakama inapomhukum mtuhumiwa kwenda jela miaka 100 huwa inafocus kukomesha lile kosa au kumkomesha mtuhumiwa?
Kama vile mahakama inavolitazama kosa, (na sio mkosaji) bas na sie tunaitazama taasisi ya ndoa na sio watu binafsi (wanandoa)
Rudia kusoma Ulichokiandika afu nambie,, kina tofauti na nlichoandka mm?Nyie akina nani? Mahakama inamhukumu mtu na si kosa. Hujaelewa vizuri. Mahakama inamtazama mkosaji siyo kosa. Ndiyo maana ili kosa la jinai kutendea lazima kuwepo na mambo mawili yaani mens rea au nia ovu na actus reus au kitendo ambavyo vyote ni vya mkosaji na si kosa alilotenda. Nadhani kwa maelezo mafupi haya utakubaliana nami kuwa tuangalie wahusika na si taasisi.
Sema hujanielewa unataka nitafune umeze. Mazingatio yetu ni tofauti kama usiku na mchana. Unasema sheria inaangalia kosa badala ya mkosaji nami nasema hasha. Hapa kifani kiko wapi? Au unatafuta namna ya kuficha uso?Rudia kusoma Ulichokiandika afu nambie,, kina tofauti na nlichoandka mm?
Kwema kabisa ..nimeamua kurudiUlipotea sana humu jukwaan mzee ,,, vp kwema?
Pw pw[emoji3]Kwema kabisa ..nimeamua kurudi