Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

Nilishawahi toa laki kwa demu.nikimchukulia kama mpenzi wangu
Hee.kumbe yeye ananichukulia buzi lake.akawa anawasimulia wenzie kuwa Mimi babu jinga.wenzie wakaja kuniambia.nikatemana nae.
 
father of revenge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Najikuta nacheka wallah
 
 
Hivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
Ukiona hivo ujue huyo ni NJAA KALI na hana nia na wewe zaidi ya kukuchuna na kuondoka na ngozi yote.
 
Do nimekoswakoswa kutapeliwa Jana eti nimtumie tiketi ya ndege mwanza dar kwa 85% nshaingia mkenge kutuma ndo nkampigia Dada yake Bunju kuwa una taarifa za mdogo wako kuja akanambia mbona yupo hapa ana wiki mbili aisee nimechoka mpk sasa hivi ametoka kupiga cm cjapokea aisee
 
Hivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
Kichwa cha chini kikitutumka baadhi yetu akili hupungua. Mwanamke akihitaji hata pesa ya teksi itatafutwa.
 
Mna roho ngumu yaan unatuma pesa alafu una baki una sikilizia!! duh kweli
 
Mi zangu wamekula nyingi sana ila iliyoniuma nilimtumia dem 50000 moro aje dar
Alaf watoto wa moro walivokuwa wazuri walee dah watoto kama walabu vile mzee ukaingiza kingi ukajua umepata kumbe pata potea dah pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…