Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Siyo kweli!ukishindwa kumudu hela ya kutumia kwa maitaji ya lazima usitegemee kuwa tajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli!ukishindwa kumudu hela ya kutumia kwa maitaji ya lazima usitegemee kuwa tajiri
Niko poa Sana mkuu,natuamaini pia mko fresh kabisa huko usukumani.Dkt bado nakumind sana ujue...
Nikiwaona mnavyobebishana na mpwa wangu donge huwa linanikaba kooni basi tu sina cha kufanya.
Uko poa lakini doc?
Jomba UMEUA.. 😄🙌ukishindwa kumudu hela ya kutumia kwa maitaji ya lazima usitegemee kuwa tajiri
Umeeleza vizuri sana. Utakuta mtu anaendesha kigari chake ila kuna wakati labda alishawahi wekeza mamilioni kwenye biashara zikazama zote. Yaani hata gari anaendesha akiwa na stress.Mkuu nadhani hujaelewa hapa, mtu unaweza ukawa na nyumba, gari ila drwam yako bado hujafika kabisa, na hela wala huioni, ila mtaani wanakuona una maisha mazuri..hapa nadhani hujapata point
Kuna jamaa alikuwa anatoa ushuhuda alikuwa na nyumba nzuri kabisa kama y milion 100.… ila shida alikuwa mfanyakazi alipata mkopo wa ujenzi, shida ilipokuja..baada ya kumaliza ujenzi akwa na best house mtaani...but hela ilikata mazima kiasi kwamba hata hela yake y kula ilikuwa shida...ilifika stage anakosa nauli y kwenda job kwake..na akawa anaona hata aibu kwenda kopa kwa mangi kulingana na statua yake mtaani
Hivyo unaweza kuona scenario hio
Which skills have you accumulated? Do you sell your skill easily. Are a master of communicatition skill?Kauli yangu siku zote hata kabla sijamaliza chuo
"Sitaki nianze kutafuta cha kufanya baada ya kustaafu kazi kama wengi niliowaona, nataka nijue dira ya maisha yangu toka mwanzo"
Hii kauli bado inanipa nguvu sanaa na nashukuru Mungu kila industry au skills set nilizotamani nizijue, nimezimaliza. Siishi tena maisha ya kusema ningejua ningefanya kitu flani au uwezo wangu flani ungenitoa HAPANA. Sina hiyo regret
I define my life and success in my own terms na kitu nachoogopa labda kifo tu 😁😁 lakini nikiwa hai. Lazma iwe
Najua kwa hii flow na phrases kuna watu washanijua.. Sijali lakini 😁🙏🏽
Miaka 24 ulikua mdg aiseh.Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.
Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha sana na madili ya town kwahiyo kiukweli haikuwa shida kupata sehemu ya kujishikiza. Ile ajira niliifanya nikiwa na malengo ya kuja kujiajiri muda sio mrefu.
Wakati naanza kazi nikasema ndani ya miaka mitano lazima niwe na masters, nyumba nzuri, gari na ule mwaka wa sita naoa. Kwa hesabu za haraka ilikuwa nikiwa na miaka 29 niwe nimefikia hizo ndoto.
Kiukweli kwenye ile miaka mitano nilikutana na dhoruba nyingi sana ikiwemo kufeli karibu kila kitu nilichojaribu kwenye biashara kwasababu ajira niliacha ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Nakumbuka kwenye hiyo miaka mitano nilipata admission ya kusoma Masters UDSM ila changamoto ikawa ada. Kuhusu nyumba na gari nilikubaliana na ukweli kwamba haiwezekani. Nikaona nitazame suala la mke. Huko pia nilifeli.
Wakati naelekea kutimiza miaka 30 ndo angalau ramani zikaanza kunyooka. Gari nikanunua nikiwa na 33yrs ambalo sikukaa nalo sana nikauza. Nyumba bado haijaisha.
Kimsingi nakaribia 40 ila hakuna uhalisia wa zile ndoto zangu za wakati ninatoka chuo. Kwa wananchi wengi wanaona niko poa ila binafsi naona muda unazidi kuchanja mbuga na ndoto za kushika kibunda zikiwa bado kutekelezeka.
Ninawashauri wote wenye changamoto ya umri kwenda huku hawajafikia malengo wazidi kupambana. Mbona Babu wa Loliondo alitoboa akiwa kikongwe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi unajua niliwaza nikuite uone venye mambo yapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio lakini hakuna haja ya kukamia sana mpaka mtu yuko radhi kutoa roho ya mtu.hapa duniani hatujakuja kutafuta pesa tu ,sio purpose ya life ,so be happy ,do wherever you want to make yourself happy,life is very short .enjoyHii ni katika kujipa courage tu mzee ila life is serious sio masihara..so wewe usipokua serious kuumia nje nje
Nimekuelewa sasa.Na uko sahihi sana tu sema ndio hivyo sasa ukishakua katikati ya jamii kuna vitu tu unajikuta vinakukimbiza na wewe unaamua kwenda navy ili jamii isikuone mzembe ndipo mambo ya ubaya yanapopata fursa hapoNdio lakini hakuna haja ya kukamia sana mpaka mtu yuko radhi kutoa roho ya mtu.hapa duniani hatujakuja kutafuta pesa tu ,sio purpose ya life ,so be happy ,do wherever you want to make yourself happy,life is very short .enjoy
Fanya subra na Mungu ataongoza nafsi yako inshallah...Me nataman sana kuwa na mtoto au kuoa. Lakini bado sijapata mtu sahihi..
Duh miaka 33 una mtoto wa form one? Kwani wewe ulipata mtoto ukiwa bado sekondari mkuu?Aisee pole sana na hiyo ndio dunia.
Sema nimekuja kugundua kwamba malengo watu tunatofautiana sana pia mitazamo jinsi tunavyoya pima maisha ndio maana wengine wanapokuona umepiga hatua wewe unajiona bado sanaaaaaa.
Binafs stress za umri pia zinanitafuna sana na kama isingekua huyu Mungu inawezekana ningetafuta ushirikina.
Kwangu kuwa na nyumba wala gari sioni kama ni hatua kivile.Nina nyumba ya kisasa tu na kagari pia nina watoto wa4 wanasoma wa kwanza anaingia form 1 mwakani na yoote haya yote nikiwa ndio nafunga 33 years.
Ila kwangu ndoto kubwa inayonifanya nijione kama nimechelewa sana ni ku establish buznes empire..hilo tu na kwa umri huu wa 33 najina kama nishazeeka tayat japo najitia moyo kwamba Mungu atanisaidia tuu...Kikubwa ni kuomba baraka na mkono wa Mungu utusaidie tusikate tamaa na kujikinai
Ahahahaha hapana bwana..Nilimzaa nikiwa ndio kwanza naanza chuoDuh miaka 33 una mtoto wa form one? Kwani wewe ulipata mtoto ukiwa bado sekondari mkuu?
Kuna jamaa alimpa mtu mimba tukiwa form II. Alikuwa na miaka 17 wakati huo.Duh miaka 33 una mtoto wa form one? Kwani wewe ulipata mtoto ukiwa bado sekondari mkuu?
MkuuNakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.
Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha sana na madili ya town kwahiyo kiukweli haikuwa shida kupata sehemu ya kujishikiza. Ile ajira niliifanya nikiwa na malengo ya kuja kujiajiri muda sio mrefu.
Wakati naanza kazi nikasema ndani ya miaka mitano lazima niwe na masters, nyumba nzuri, gari na ule mwaka wa sita naoa. Kwa hesabu za haraka ilikuwa nikiwa na miaka 29 niwe nimefikia hizo ndoto.
Kiukweli kwenye ile miaka mitano nilikutana na dhoruba nyingi sana ikiwemo kufeli karibu kila kitu nilichojaribu kwenye biashara kwasababu ajira niliacha ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Nakumbuka kwenye hiyo miaka mitano nilipata admission ya kusoma Masters UDSM ila changamoto ikawa ada. Kuhusu nyumba na gari nilikubaliana na ukweli kwamba haiwezekani. Nikaona nitazame suala la mke. Huko pia nilifeli.
Wakati naelekea kutimiza miaka 30 ndo angalau ramani zikaanza kunyooka. Gari nikanunua nikiwa na 33yrs ambalo sikukaa nalo sana nikauza. Nyumba bado haijaisha.
Kimsingi nakaribia 40 ila hakuna uhalisia wa zile ndoto zangu za wakati ninatoka chuo. Kwa wananchi wengi wanaona niko poa ila binafsi naona muda unazidi kuchanja mbuga na ndoto za kushika kibunda zikiwa bado kutekelezeka.
Ninawashauri wote wenye changamoto ya umri kwenda huku hawajafikia malengo wazidi kupambana. Mbona Babu wa Loliondo alitoboa akiwa kikongwe?
Hivi godlove anajihusisha na Nini.Njoo tiktok kwa godlove anatufudisha jins yankutoka magetoni tukajitafute