Kwanza jitambue wewe ni nani, kwa maana ya kuwa what is your definition of achievement halafu hela inafuata.
Kwenye maisha chochote utakachoamua kukifanya with passion ukakitilia mkazo kukielewa kwanza. kukubali kujifunza makosa yako kutoka na mbinu za wengine waliofanikiwa eventually you’ll make it.
Whatever you do make it a passion and when the achievement comes it’s satisfying to you only and not to another person, na kila mtu ana definition yake ya achievement.
Chukulia huu mfano
1. Kuna hizi challenge za ‘millennium maths prize’ ambazo zawadi yake ni $1 million dollar. Zipo problems saba katika hizo moja tayari ina solution (Poincaré Conjecture) jamaa aliejibu definition yake ya success kwa umri wake ilikuwa na ku solve hiyo problem tu na anaishi na mama yake mtu mzima kwenye flat huko Russia.
Zawadi ya ku solve one equation hiyo $1 milllion jamaa akaikataa. Sasa wewe unaweza shangaa why?jibu lake alipoulizwa lilikuwa hivi mtu ambae naweza jibu moja ya maswali magumu ya hesabu duniani naweza shindwa kweli kutengeneza dollar million kadhaa nikiamua kwa ku trade on the stock market au kwa kufanya biashara.
Sio hivyo tu alikuwa na job offers za Stanford university na other big institutions US ambazo zilikuwa tayari kumlipa mshahara kama huo wa million moja just to teach part time and do maths na aka kataa.
Somo hapo pursue what makes you happy ata ukipata hela una enjoy whilst doing your hobby,
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala what the next person is doing.