Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Hapo ulipo shukuru Mungu..Kuna wengine Wana umri zaidi yako na bila bila.
 
Umeeleza vizuri sana. Utakuta mtu anaendesha kigari chake ila kuna wakati labda alishawahi wekeza mamilioni kwenye biashara zikazama zote. Yaani hata gari anaendesha akiwa na stress.
 
Which skills have you accumulated? Do you sell your skill easily. Are a master of communicatition skill?
 
Miaka 24 ulikua mdg aiseh.
 
Hii ni katika kujipa courage tu mzee ila life is serious sio masihara..so wewe usipokua serious kuumia nje nje
Ndio lakini hakuna haja ya kukamia sana mpaka mtu yuko radhi kutoa roho ya mtu.hapa duniani hatujakuja kutafuta pesa tu ,sio purpose ya life ,so be happy ,do wherever you want to make yourself happy,life is very short .enjoy
 
Ndio lakini hakuna haja ya kukamia sana mpaka mtu yuko radhi kutoa roho ya mtu.hapa duniani hatujakuja kutafuta pesa tu ,sio purpose ya life ,so be happy ,do wherever you want to make yourself happy,life is very short .enjoy
Nimekuelewa sasa.Na uko sahihi sana tu sema ndio hivyo sasa ukishakua katikati ya jamii kuna vitu tu unajikuta vinakukimbiza na wewe unaamua kwenda navy ili jamii isikuone mzembe ndipo mambo ya ubaya yanapopata fursa hapo
 
Duh miaka 33 una mtoto wa form one? Kwani wewe ulipata mtoto ukiwa bado sekondari mkuu?
 
Mkuu

Usijichoshe kuhusu umri!

Biden kawa Rais wa US akiwa na miaka zaidi ya 70 wakati obama anastaafu urais akiwa na miaka pungufu ya 70!

Umri na mafanikio haviendani!!

Pia inategemeana mafanikio unayatafsirije!kwa mfano mimi sijawahi fikiri kuwa na Gari ni mafanikio bali ni matokeo ya aina ya kazi unayofanya kama Gari linahitajika!
Mi Naamini mafanikio ni kumiliki viwanda, taasisi kama hospitali mashule n.k

Kuoa sio mafanikio bali ni haki ya ASILI ya kiumbe yeyote hata sisimizi anaoa!msifanye Mambo ya KAWAIDA kuwa ya spesho Sana kiviile!!!

Kujenga NYUMBA ya kuishi sio mafanikio huko ni kujipambanua kama kiumbe wa kiume kama ndege vile wanavotengeneza viota Hayo sio mafanikio ni wajibu wa asili wa umiliki wa mipaka (territory)!

Kati ya vyote ulivyoorodhesha sijaona kinachoitwa mafanikio zaidi ya wajibu wa KAWAIDA kuwa mwanaadamu YEYOTE!!!

Hivyo tu ndugu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…