Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Wengine sio tech... kuna under 30 hapahapa Afrika wanakimbiza sana kwenye kilimo. Kuna dogo yuko na 23yrs ana maduka ya nguo karibia sawa na Vunjabei kwenye nchi flani ya SADC. Ni balaa.
Daaah wengine kilimo na wengine fashion, ni noma sana kaka sema wengi wao huja kwa kasi na kuangukia pua.
Ni bora ukausoma mchezo uingie kipindi cha pili.
Ulipo umejua mengi.
 
Muda ukifika utajikuta tu kila unachogusa kinaenda vizuri. Saa nyingine ni kuacha tu mambo yajiseti. Ukikaza fuvu utapata depression
 
Time will tell boss, kikubwa kuwa na subira kwenye chochote na mipango iwe mizuri, pia maisha siyo lazima uwe na mabillion.
 
Mi mwenyewe nimeshangaa.. na ana watoto wanne tayari na nyumba na gari anavyo. Bado anajiona amefeli maisha

Kama kweli hajafeli maisha.

Na pia mtoto wa sekondari kwa umri huo ni bonge la advantage
Hii chai
 
Kuna kipind mwaka jana nilipigika sana madeni kama buku bills zote sijalipa kuanzia ada kodi ya dogo nyumba kodi ya ofisi ofisin mezan nina eviction notice, home nina nimepitisha miezi minne sijalipa kodi mwenye nyumba kawa mbogo hatari japo ananiona huruma ila naona kabisa kishanichoka dogo ada haijalipwa nalipaga tu school bus halafu nikichek age inayoyoma ni miaka michache tu naweza kutimiza vigezo vya kugombea urais alafu natembelea rumba la kitaifa , kuna siku nilikaa home nikwaza sana nikajutia nikasema kama wazaz wanganipeleka shule nikajua kusoma nakuandika huwenda ningepata vibarua hata kwa wachina ila nikakumbuka nina degree tena GPA ya kibabe na wala sihitaji vibarua vya wachina maana mimi mwenyewe ni muajili ni vile tu game limenidindia mpaka nimesahau kama nina elimu
Nikaamua kufunga nakuomba kwa siku tatu ndani ya hizo siku tatu niliona changes kubwa sana kwangu nikajikuta siogopi wadeni wala siogopi watachukua hatua gani dhidi yangu huo mzigo nilimuachia Mungu, alafu nina nguvu hatari ya kupush project zangu japo sioni kitu ila I can feel iuit soon nitakuja apa kuwawekea ushuhuda wangu sio kuvimba ila kutiana moyo, usipomtegemea Mungu kukata tamaa, kuwanga, uhalifu na kulawitiana ni dakika sifuri tu shetani anakufanya uwe majalala halafu nakuletea solution zake zakishetani za kusurvive situation zako kwa malipo ya kukudhalisha badae
 
Fanya haraka Sana
 
Wewe umeandika kitu kikubwa sana. Kufunga ni kitu muhimu sana.
 
Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.

Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha sana na madili ya town kwahiyo kiukweli haikuwa shida kupata sehemu ya kujishikiza. Ile ajira niliifanya nikiwa na malengo ya kuja kujiajiri muda sio mrefu.

Wakati naanza kazi nikasema ndani ya miaka mitano lazima niwe na masters, nyumba nzuri, gari na ule mwaka wa sita naoa. Kwa hesabu za haraka ilikuwa nikiwa na miaka 29 niwe nimefikia hizo ndoto.

Kiukweli kwenye ile miaka mitano nilikutana na dhoruba nyingi sana ikiwemo kufeli karibu kila kitu nilichojaribu kwenye biashara kwasababu ajira niliacha ndani ya mwaka mmoja na nusu.

Nakumbuka kwenye hiyo miaka mitano nilipata admission ya kusoma Masters UDSM ila changamoto ikawa ada. Kuhusu nyumba na gari nilikubaliana na ukweli kwamba haiwezekani. Nikaona nitazame suala la mke. Huko pia nilifeli.

Wakati naelekea kutimiza miaka 30 ndo angalau ramani zikaanza kunyooka. Gari nikanunua nikiwa na 33yrs ambalo sikukaa nalo sana nikauza. Nyumba bado haijaisha.

Kimsingi nakaribia 40 ila hakuna uhalisia wa zile ndoto zangu za wakati ninatoka chuo. Kwa wananchi wengi wanaona niko poa ila binafsi naona muda unazidi kuchanja mbuga na ndoto za kushika kibunda zikiwa bado kutekelezeka.

Ninawashauri wote wenye changamoto ya umri kwenda huku hawajafikia malengo wazidi kupambana. Mbona Babu wa Loliondo alitoboa akiwa kikongwe?
Hiyo sentensi yako ya mwisho ya "Babu wa Loliondo" imenifanya nicheke kwa sauti hadi wife akanishangaa.
 
Back
Top Bottom