Samia yupo kutembeza Bakuli Uchina.Kwani samia anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia yupo kutembeza Bakuli Uchina.Kwani samia anasemaje?
Subiri Chadema watangaze maandamano , utasikia na wao wanatangaza kufanya usafi mitaaniNimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Simtetei jamaa ila vitu vingne vinatia hasira ndege imeingia majini saa mbili mita mia toka nchi kavu mpk jion tunashindwa kuokoa watu, kiwanja cha ndege km kile kinakosa vp huduma na vifaa vya emergency km hzo.Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.
Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima...
Upunguze huo uhuruHuu uhuru wa kuongea umezidi kiwango.
Umeandika vizuri ila huko mstari wa mwisho sio poa kabisa.Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar....
Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuunga mkono mtu mwenye kinywa kichafu kila afunguapo, huwezi ukawa sawa kuunga mkono matusi na lugha za udhalilishaji, labda Kama na wewe unafanana akili na mtu wa namna hiyo,Hizi hasira mnazokuwa nazo kwa wananchi wenzenu wakifanya mambo ya kipuuzi mngeweza pia kuzielekeza kwa viongozi wenu wa nchi wanavyofanya mambo ya kipumbavu kama taifa tungepiga hatua kadhaa mbele.
Maandamano ya Chadema hakuna wa kushiriki maana Ni chama kilichopuuzwa na watanzania, Ndio maana hata Lisu alipotangaza uliona namna watanzania walivyo mpuuza ikiwepo wewe mwenyewe uliyeamua kwenda kuandaa mashamba ya mpunga kyelaSubiri Chadema watangaze maandamano , utasikia na wao wanatangaza kufanya usafi mitaani
Acha kutetea ujinga hapa, kwa hiyo mama yako akikuuzi unaweza mwambia maneno aliyoyaandika huyo aliyekosa adabu? Umewahi kumwambia maneno ya namna hiyo mama yako alipikuuzi? Kwani huwezi ukakosoa bila kutukana watu?Simtetei jamaa ila vitu vingne vinatia hasira.. ndege imeingia majini saa mbili mita mia toka nchi kavu mpk jion tunashindwa kuokoa watu.. kiwanja cha ndege km kile kinakosa vp huduma na vifaa vya emergency km hzo..
Ama kweli kuzaliwa Tanzania ni laana kubwa sana
Maandamano ya Chadema hakuna wa kushiriki maana Ni chama kilichopuuzwa na watanzania, Ndio maana hata Lisu alipotangaza uliona namna watanzania walivyo mpuuza ikiwepo wewe mwenyewe uliyeamua kwenda kuandaa mashamba ya mpunga kyela
Hajaongelea swala la jeshi la wokovu?Ameshatoa pole kwa wafiwa na kuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi, pili mh Rais wetu ameagiza uchunguzi ufanyike wa chanzo Cha ajari na kutaka watanzania kuwa kitu kimoja kuwa watulivu na subira wakati huu wakati serikali inaendelea kushughulika na suala hili
Pamoja na juhudi za Capt Luhaga kupeleka ndege ziwani mita chache kutoka Airport akiamini hapo ndipo watapata msaada kwa linalokwenda kutokea lakini imekuwa kinyume sana kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika. Kama viongozi na Kama nchi tujitafakari sana kwa hili lililotokea. RIP Atulinde (Linda) na Aneth!Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana...
tuanzie hapo anatingisha au hatingishi??? kama jibu ni yes, then hajakosea, kama jibu ni No then amekosea.Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.
Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P
Pesa wamenunulia magari ya maji ya washawasha na mabomu ya machozi ndio yenye kazi.Simtetei jamaa ila vitu vingne vinatia hasira.. ndege imeingia majini saa mbili mita mia toka nchi kavu mpk jion tunashindwa kuokoa watu...
Hivi mbona viongozi wakitutukana na kutuambia tuhamie Burundi ccm hamuonyeshi hizi hasira?Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuunga mkono mtu mwenye kinywa kichafu kila afunguapo, huwezi ukawa sawa kuunga mkono matusi na lugha za udhalilishaji, labda Kama na wewe unafanana akili na mtu wa namna hiyo,
Sasa leo mmeshuhudia wananchi walivyowapuuza ccm kuliko mapuuza yenyewe.Maandamano ya Chadema hakuna wa kushiriki maana Ni chama kilichopuuzwa na watanzania, Ndio maana hata Lisu alipotangaza uliona namna watanzania walivyo mpuuza ikiwepo wewe mwenyewe uliyeamua kwenda kuandaa mashamba ya mpunga kyela
Ni jeshi la ccm.....Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Kuvuta ndege kutumia kamba kwa mikono !!?Hao huwa hawaendi bila amri toka kwa mkuu wao, inawezekana ndio walikuwa wanaisubiri.
Hata hivyo, baadae wanajeshi waliungana na raia kuivuta ndege iliyopata ajali.
Wananchi Ni wazalendo ambao wapo pamoja na serikali yao na wanaiunga mkono ndio maana unaona wakishirikiana na serikali yaoSasa leo mmeshuhudia wananchi walivyowapuuza ccm kuliko mapuuza yenyewe.