Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Subiri Chadema watangaze maandamano , utasikia na wao wanatangaza kufanya usafi mitaani
 
Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.

Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima...
Simtetei jamaa ila vitu vingne vinatia hasira ndege imeingia majini saa mbili mita mia toka nchi kavu mpk jion tunashindwa kuokoa watu, kiwanja cha ndege km kile kinakosa vp huduma na vifaa vya emergency km hzo.

Ama kweli kuzaliwa Tanzania ni laana kubwa sana
 
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar....
Umeandika vizuri ila huko mstari wa mwisho sio poa kabisa.
 
Hizi hasira mnazokuwa nazo kwa wananchi wenzenu wakifanya mambo ya kipuuzi mngeweza pia kuzielekeza kwa viongozi wenu wa nchi wanavyofanya mambo ya kipumbavu kama taifa tungepiga hatua kadhaa mbele.
Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuunga mkono mtu mwenye kinywa kichafu kila afunguapo, huwezi ukawa sawa kuunga mkono matusi na lugha za udhalilishaji, labda Kama na wewe unafanana akili na mtu wa namna hiyo,
 
Subiri Chadema watangaze maandamano , utasikia na wao wanatangaza kufanya usafi mitaani
Maandamano ya Chadema hakuna wa kushiriki maana Ni chama kilichopuuzwa na watanzania, Ndio maana hata Lisu alipotangaza uliona namna watanzania walivyo mpuuza ikiwepo wewe mwenyewe uliyeamua kwenda kuandaa mashamba ya mpunga kyela
 
Simtetei jamaa ila vitu vingne vinatia hasira.. ndege imeingia majini saa mbili mita mia toka nchi kavu mpk jion tunashindwa kuokoa watu.. kiwanja cha ndege km kile kinakosa vp huduma na vifaa vya emergency km hzo..
Ama kweli kuzaliwa Tanzania ni laana kubwa sana
Acha kutetea ujinga hapa, kwa hiyo mama yako akikuuzi unaweza mwambia maneno aliyoyaandika huyo aliyekosa adabu? Umewahi kumwambia maneno ya namna hiyo mama yako alipikuuzi? Kwani huwezi ukakosoa bila kutukana watu?
 
Maandamano ya Chadema hakuna wa kushiriki maana Ni chama kilichopuuzwa na watanzania, Ndio maana hata Lisu alipotangaza uliona namna watanzania walivyo mpuuza ikiwepo wewe mwenyewe uliyeamua kwenda kuandaa mashamba ya mpunga kyela

Watu wanaomboleza msiba wewe umekazana na CHADEMA. Hauoni aibu serikali inadai tozo kwa raia lakini ajali imetokea saa mbili asubuhi lakini mpaka Sasa hivi miili bado imekwama kwenye ndege.
 
Ameshatoa pole kwa wafiwa na kuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi, pili mh Rais wetu ameagiza uchunguzi ufanyike wa chanzo Cha ajari na kutaka watanzania kuwa kitu kimoja kuwa watulivu na subira wakati huu wakati serikali inaendelea kushughulika na suala hili
Hajaongelea swala la jeshi la wokovu?
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana...
Pamoja na juhudi za Capt Luhaga kupeleka ndege ziwani mita chache kutoka Airport akiamini hapo ndipo watapata msaada kwa linalokwenda kutokea lakini imekuwa kinyume sana kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika. Kama viongozi na Kama nchi tujitafakari sana kwa hili lililotokea. RIP Atulinde (Linda) na Aneth!
 
Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.

Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P
tuanzie hapo anatingisha au hatingishi??? kama jibu ni yes, then hajakosea, kama jibu ni No then amekosea.
 
Simtetei jamaa ila vitu vingne vinatia hasira.. ndege imeingia majini saa mbili mita mia toka nchi kavu mpk jion tunashindwa kuokoa watu...
Pesa wamenunulia magari ya maji ya washawasha na mabomu ya machozi ndio yenye kazi.

Kwani hukuona mkuu?

Kwahivyo hakuna pesa za kununua vifaa vya uokoaji.
 
Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kuunga mkono mtu mwenye kinywa kichafu kila afunguapo, huwezi ukawa sawa kuunga mkono matusi na lugha za udhalilishaji, labda Kama na wewe unafanana akili na mtu wa namna hiyo,
Hivi mbona viongozi wakitutukana na kutuambia tuhamie Burundi ccm hamuonyeshi hizi hasira?
 
Maandamano ya Chadema hakuna wa kushiriki maana Ni chama kilichopuuzwa na watanzania, Ndio maana hata Lisu alipotangaza uliona namna watanzania walivyo mpuuza ikiwepo wewe mwenyewe uliyeamua kwenda kuandaa mashamba ya mpunga kyela
Sasa leo mmeshuhudia wananchi walivyowapuuza ccm kuliko mapuuza yenyewe.
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Ni jeshi la ccm.....
 
Hao huwa hawaendi bila amri toka kwa mkuu wao, inawezekana ndio walikuwa wanaisubiri.

Hata hivyo, baadae wanajeshi waliungana na raia kuivuta ndege iliyopata ajali.
Kuvuta ndege kutumia kamba kwa mikono !!?
Mpyuuuuuui
 
Back
Top Bottom