Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

Huu ujinga ndiyo sitaki kuusikia. Na kama kweli wewe ndiye msomi basi taifa limekufa hili. Unaanza kuuliza utalimia nn? Unauliza utang'oa vipi visiki shambani?

Huyo bibi na babu yako mpk leo wamekuwa wazee nani amekuwa akiwafanyia hizo kazi? Sasa wewe una kitu cha ziada "elimu" dhidi ya hao bibi na babu zako. Unashindwa vipi kuishi kwa kilimo?

Kwahiyo unataka upewe ajira ya mshahara wa laki 2 katikati ya jiji ama mji? Ambapo utaishia kuishi kwa kukopa kopa unga kwenye maduka ya Mangi. Acha ujinga kilimo kinalipa, ndiyo maana 80% ya watanzania wanakitegemea. Wewe msomi gani unakiogopa kilimo?

Umenichefua wewe!!
 


Aisee...nadhan kuna kitu unamis kutokana na comment yangu..either hujawahi hata ingia shambani..all the best
 
Aisee...nadhan kuna kitu unamis kutokana na comment yangu..either hujawahi hata ingia shambani..all the best
Tatizo mnapokuwa mashuleni na vyuoni mnawaza vitu visivyo halisi na visivyo kuwepo "utopian thinking". Unataka ukitoka chuo uanze kilimo na trekta pamoja mitambo ya umwagiliaji. Shubamiti!!
 
Tatizo mnapokuwa mashuleni na vyuoni mnawaza vitu visivyo halisi na visivyo kuwepo "utopian thinking". Unataka ukitoka chuo uanze kilimo na trekta pamoja mitambo ya umwagiliaji. Shubamiti!!


Hhagahha....ndo maan niksema...ww unaongelea kilimo in general..mm naongelea "kilimo biashara"...shubmiti mwenyewe na serikali yko😅
 
Mtoa post mm nitakusaidia kitu kimoja, ukitaka kuondokana na aibu nenda mbali na mkoa ulipo zaliwa/kuishi ambako hufahamiki.

Ukiwa huko utakua free kufanya mchongo wowote.
Mfano mm n graduate nimeacha kazi private nlikua nalipwa 300,000 sahizi npo mbali napiga issue ya carwash kwa mtu ili kupata experience baada ya siku chache ntakua na yangu. Carwash pays!!!
 


Mie nadhani ni woga tu tena usio na mashiko kbs..phobia za namna hii ndo maana tunafeli...why uhame mkoa?..mie nnaamini kuanza na ulicho nacho...lazima milango mingine ifunguke...woga na aibu vinawponza wengi..kila la heri
 
Daa Carwash pay umeniongezea [emoji91] [emoji91] mkuu.
 
Samahani kwa kucheka ila comment yako imenchekesha sn [emoji23][emoji23]
 
Ubaya wanaoshaur kalime kalime, yeye kaajiriwa na hata kulima hajawai, sisi ambao tunajua kilimo na changamoto zake ndo tunajua hali halisi, yan kilimo ni kazi kama kazi zingine zilivo ni kama kuanzisha biashara ilivo, ni kwamba zinatofautiana mtaji tu ila sio kwamba mtaji hauitajiki, haya ukilima utaotesha nn kama hautanunu mbegu, iyo ela ya mbegu unapata wapi kwa iyo nguvu kazi yako. Mnachukulia poa kulima mnafikir ni kazi rahisi kama mnavoichukulia sio nyie mliokaa maofisini, shubaamit
 
Graduate njooni mtupe maujuzi zaidi nasi tujifunze

NB:Ila maisha haya yaani mtu unasoma then unaambiwa ajira hakuna mjiajiri
 
Kilimo sio poa we kisikie tu kwa wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…