Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Naamini siyo wanawake wote wako hivyo, japo % kubwa wako hivyoMambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI
Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
Bado mdogo!Na Miaka hii 29 Nimejaaliwa watoto wawili lakini sijawahi kufikiria kuoa. Kizazi hiki cha kidigitali tabu kila kona.
Ninao na wenyewe waume zao wawafanye mama wa nyumbani walishinda shauri yaoUna mabinti kama ndio kuna kitu kinaitwa Karma...))
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tulio-oa housewife tunasoma shuhuda[emoji1787]
Mdangaji mwenyewe...halafu tafuta tusi jipya hili limezoelekaWewe sio mwanamke wa kwanza mimi kumsikia anaongea hivi, hata huku mtaani wadada wana msemo wao kuwa wanawake hawanaga hela.
Hio ni kauli ya kidangaji na ya kibinafsi. Samahani lakini Missy Gf
Kwahiyo mkitupa na sisi tutoe tukalipe Ada kweli?Si tunawapa 😅😂
Mimi sijasema hivyoKwahiyo mkitupa na sisi tutoe tukalipe Ada kweli?
Huoi kwa sababu n mtumishi, unaoa kwa sababu anakufaa na mnapendana.Sasa kulenga kuoa mtumishi si ni kupigia hesabu hela mke?
Hili ndo neno sasaHuoi kwa sababu n mtumishi, unaoa kwa sababu anakufaa na mnapendana.
Hapana Mkuu. Wewe ndiye wa kufanya kitu ili lolote likikupata mambo yaende. Mfano umepata tatizo kuwe na uwezekano wa kupata mahitaji yaoNadhani mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye kesho na kesho kutwa likitokea lolote kwa mwanaume familia itaendelea ku survive
Pesa ya mwanamke inaliwa na Nabii, au mitume au mganga wa kienyeji, au wotetatizo humkojozi vizuri huyo bibie. Ila hakuna watu wahongaji kama wanawake kama ukimjulia
Huyo mwamba analeta mambo yakukojoza kwenye hela kweli??Pesa ya mwanamke inaliwa na Nabii, ay mitume au mganga wa kienyeji, au wote
irrelevant. au unalelewa mkuutatizo humkojozi vizuri huyo bibie. Ila hakuna watu wahongaji kama wanawake kama ukimjulia
Nakubaliana na wewe!! huyo jamaa yangu aliyeoa mtumishi, mwanamke yuko beneti na watu wa kwao.Nilichoona Kwenye maisha ya wanaume wengi, kwa asilimia kubwa mwanamke ambae atakupa sapoti ambayo itafanya uinuke kiuchumi ni mama mzazi na ndugu wa kike, hao wanawake wengine wanakuja kwa nia ya kuchuna tu.
Ni mara chache kukuta mwanaume ni tajiri sababu amepewa sapoti na mkewe au mchumba Rabboni Natafuta Ajira
Una point ila umeiwasilisha kibabe sanaHakuna Cha ukatili Bibi yangu alikuwa mama wa nyumbani, Mama yangu mama wa nyumbani Mimi Nani mke wangu awe mdandia daradara na kusimamia na mguu mmoja halafu usiku huduma atoe Nani beki 3?
Watoto wengi huwakumbuka mama zao kuliko baba zao. Na jinsi unavyomchukulia poa mama yao ndo wanazidi kumpenda yeye na wewe watakuchukulia poa hapo baadae.Watoto muhimu Sana badae nitazeeka watoto watamkumbuka tu baba maana wanasoma kwa pesa yangu
Umri wangu wa kuishi uliobaki ni mdogo Sana Sina haja ya kupewa pesa maana natimiza majukumu yangu Kama baba inatosha Sina haja ya kupewa pesa watanikumbuka kwa niliyofanya kwa ajili yao wasipokumbuka hawalazimishwi maana pesa yangu ya kula inanitosha na bado natafutaWatoto wengi huwakumbuka mama zao kuwa mskini. Na jinso unavyomchukulia poa mama yao ndo wanazidi kumpenda yeye na wewe watakuchukulia poa hapo baadae.
Kuwasomesha ni jukumu lako na si kama unawafanyia favor.