Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Unawekq sana pesa mbele mkuu. Kupendwa sio lazima upewe pesa. Unaweza ukawa na pesa zako na watoto wakakuporezea.
 
Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha.

Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Jambo la mhimu na la maana mwanamke akubali moyoni mwake kuwa wewe ni mume wake halikadhalika wewe baba pia ukubali moyoni mwako huyo ndo mkeo. Mambo ya kazi na vipato yatajifix yenyewe kulingana na majukumu ya maisha ya ndoa
 
Umesahau siku hizi kuna compressor za kuvuta vumbi, Aya heaters, rice cookers, oven, kuna Ile nyingine inachoma nyama sijui Inaitwaje, viberiti vipo vya risasi na gas za kwenda mtungi 75 elfu

Ila N. B MSILE malaya mnabeba nuksi
 
Mzee umetekwa nini? Upo wapi tuje kukuokoa🀣🀣🀣🀣
 
Mnateseka sana mwanawane.....ila hawa wa nyumbani nao bodablda wanapita nao.
 
Mimi hajuwi hata kusoma simu namuachia anaagalia TikTok tu
 
Kuna kitu nimejifunza kutoka kwako. Shukran sana Mkuu.
 
kataa ndoa huku mambo bulbul,,,,tunatumia formular ya SOGEA TUKAE, Akizingua anapita kushoto UNAZOGEZA mwingine yanini kuteseka?!

##kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
Unaonaje hao bint zako unaowapenda wakija kusogezwa na kijana wa hovyo huku wewe baba yao ukiwa unajua hilo, Nafikiri itakuwa hivyo maana mchezo wote huwa ni hapa hapa duniani. tunataka kujua reaction yako
 
Ukioa mtumishi si mbaya maana hata mabinti zetu tunawasomesha pengine wanaweza kuja kupata ajira wakawa chini ya serikali au kampuni binafsi. Itakupasa kukubaliana na yafuatayo.

Pesa yake haikuhusu, ingawa hawezi kumwacha mtoto wake wa kumzaa akikosa mahitaji, hiyo never. Na pengine hapo ndo kuna unafuu kidogo maana anahudumia wanao kwa vitu wanavyovipenda kama nguo, zawadi nzuri na favours nyingine kama visherehe vya siku ya kuzaliwa.

Atarudi amechoka kutoka kazini, hivyo kubali kukosa care kwa mume kama kufuliwa, kupikiwa na mengineyo ukubali kuzopata kwa dada wa kazi,

Huwezi kumwekea mipaka kama mkeo maana kuna maamuzi yatakayoathiriwa na boss wake huko kazini kwake. Yapasa kukubaliana na kitakachopangwa huko kazini kwake mfano safari ya mbali kikazi, kurudi amechelewa kutokana na majukumu ya ziada. Huna sauti utakuwa ni kukubaliana tu.

Watoto wako watatumia maziwa mbadala na muda mwingi watakaa na dada wa kazi kwa sababu ratiba za mkeo haziwezi kumpa nafasi kutosheleza mahitaji ya kihisia na kimwili ya mtoto wenu ambayo ni lazima kwa makuzi ya mtoto.

Mwanamke ndiye huifanya nyumba kuwe nyumbani mfano kelele za watoto na michezo yao, Usafi wa maua yaliyokatwa vyema na kutunzwa vizuri, usafi wa ndani na activities za hapa na pale mfano ubunifu wa mapishi, kukuwakilisha kwenye vikao vidogo vidogo vya kijamii, kukuletea umbea kidogo wa mtaa ambao ni sehemu ya security..

Mengi mengi tu.
Haya huwezi kuyategemea kwa mke mwenye majukumu mengi ya kikazi.

Ukubali pia pamoja na mzigo wote wa kuihudumia familia ambao mkeo anaweza akakuachia lakini hutapata huduma nyingi za mume ikiwemo tendo la ndoa, utakachokiambulia labda ni heshima uchwara ambayo utakuwa ukijipa mwenyewe kuwa unamiliki mke msomi mwenye kazi ambayo kiuhalisiaina mchango mdogo saba kwenye maisha yako.

Haogopi kukupoteza kwa sababu anayo option za wanaume wengi na kipato. Hatahangaika na wewe hasa watoto wake wakikua. Hivyo unapaswa kujiwekewekeza usitumie nguvu zako zote za ujana kumfurahisha ukasahau kujiendeleza kuandaa maisha yako hasa ukiwa mzee maana hata hao watoto watakuwa upande wako kwa asilimia 25 tu 75 kwake.

Kinyume chake ukioa mke asiye na ajira yapo pia unaweza kukutana nayo mfano;

Kama si mcha Mungu kweli atakuroga ili akuweke sawa maana wewe ukikengeuka na wanawake wengine yeye hali kwake ni tete maana anakutegemea kwa mambo yote.

Ila kikubwa utapata heshima na treatment nyingi anazostahili mume maana kazi yake kubwa itakuwa kujifunza kukufurahisha ili asikupoteze



Kila mtu anapaswa kuangalia anahitaji kuishi maisha ya namna gani kabla hajaoa
 
Nadhani mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye kesho na kesho kutwa likitokea lolote kwa mwanaume familia itaendelea ku survive
Kwa nini tumejijengea fikra za mwanaume ndiye ataanza kufa. Hili linatutafuna sana

Itoshe kusema mwanaume mwenzangu ukipata nafasi ya kufaidi maisha na kuwa na amani wewe kama wewe basi usiichezee, kula bila kuangalia nani wala nani, jipongeze, jitoe out. Maana msimamo wa wanawake na watoto wanaamini wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kufa na mali zote ulizozihangaikia zinatatafunwa kirahisi na wao
 
Mbona kazi sana
 
BORA KULOGWA NA HUYO MAMA WA NYUMBANI KULIKO HUYO MTUMISHI ASEE, MAANA YOTE KWA YOTE UKIOA MWANAMKE MWAJIRIWA UNAPOTEZA SAUTI HARAKA MAANA MUME WAKE WA KWELI NI BOSS WAKE NA AKIMTAKA KILAINI ANAPEWA HATA JUU YA MEZA ANASOGEZA COMPUTER KULE MKE ANALIWA ILI ASIPANGWE KWENDA ZIARA YA MBALI, MUDA MWINGINE UNAPANGWA KUWA ANA OVERTIME NYINGI KUMBE ANALIWA CHOONI STAFF WENZAKE WAKIONDOKA HUKU WEWE ZUZU UMEBAKI SEBLEN UNANG'AA MACHO KWENYE TAARIFA YA HABARI ETI UNASUBIRI KUMFUNGULIA MKEO MLANGO.. SHWAIN KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…