Nakuelewa zaidi maana nimeshaexperience haya. Na hapo ndipo mwanaume unatakiwa kutumia akili zaidiKikubwa umeoa mwanamke wa namna gani, kama mnaelewana vizuri na mnashirikishana utafurahia maisha, mishahara yenu mnaijumuisha na kuipangia matumizi, ila usisahau kuwa wanawake wanamahitaji makubwa kuliko sisi hehe lazima awe na ziada
[emoji419][emoji419][emoji419]Oa huyo binti acha kuangalia kazi yake maana hela zao ni zao peke yao, yani mwanaume unatakiwa ujue kabisa hela ya mwanamke ni ya kwake mwenyewe..
Mm ndo maana hata spana za maisha zikinipiga kivipi siwezi ruhusu mke wangu akatoa hela au ajue sina hela ila nachofayaga natoa hata kidogo pale nakofikia yeye atajua aongezee au afanyaje.. pia akiomba hela hatakama najua sina sisemagi sina nakubali ila na mwambia nafanya mpango nitakupa jibu na jibu lenyewe either lije pungufu ajazie au lije limejaa au nisitimize kabisa.
Nb: hela ya mwanamke intumika kwa akili sana ukionyesha unaipigia hesabu ndo unaikosa kabisa au inaleta vurugu.. ukitaka kutumia hela ya mwanamke tumia propaganda atatoa tuu tena kwa moyo mweupe ila ukijifanya mjuaji ndugu yangu utaumia
Sikumaanisha kufa, bali ajali, kuumwa, redundancy kazini, kuwa fired.Kwa nini tumejijengea fikra za mwanaume ndiye ataanza kufa. Hili linatutafuna sana
Itoshe kusema mwanaume mwenzangu ukipata nafasi ya kufaidi maisha na kuwa na amani wewe kama wewe basi usiichezee, kula bila kuangalia nani wala nani, jipongeze, jitoe out. Maana msimamo wa wanawake na watoto wanaamini wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kufa na mali zote ulizozihangaikia zinatatafunwa kirahisi na wao
Sasa unambishia Nini sasa nawewe mkuuMdangaji mwenyewe...halafu tafuta tusi jipya hili limezoeleka
Wanaisoma nambaKuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha.
Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Aisee, basi sawaHakuna Cha ukatili Bibi yangu alikuwa mama wa nyumbani, Mama yangu mama wa nyumbani Mimi Nani mke wangu awe mdandia daradara na kusimamia na mguu mmoja halafu usiku huduma atoe Nani beki 3?
Haipunguzi ukweli wala hainifanyi niingie ubaridi mm hata ukisema mama na dada zangu bado sheria ni 👉 "survival of the fittest". Hao mabinti kama watashindwa kusurvive kwenye dimbwi la vijana wa hovyo then they were not meant for it. Its simple as that no feelings attached🤗Unaonaje hao bint zako unaowapenda wakija kusogezwa na kijana wa hovyo huku wewe baba yao ukiwa unajua hilo, Nafikiri itakuwa hivyo maana mchezo wote huwa ni hapa hapa duniani. tunataka kujua reaction yako
Umewahi kuugua magonjwa ya akili ?Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya
Nyumba kaikuta na kila kitu ndani
Akicheza anabeba begi kwao!!
Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!
Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Mtu ambaye bado anateseka na wanawake hayupo na akili timamu.Umesahau siku hizi kuna compressor za kuvuta vumbi, Aya heaters, rice cookers, oven, kuna Ile nyingine inachoma nyama sijui Inaitwaje, viberiti vipo vya risasi na gas za kwenda mtungi 75 elfu
Ila N. B MSILE malaya mnabeba nuk
kwa mentality hii ya kupenda kusaidia majukumu iko siku utakuja kufungua uzi hapa unaomba ushauri huyo mke wako anakucheat😄😄😄Ukioa mtumishi si mbaya maana hata mabinti zetu tunawasomesha pengine wanaweza kuja kupata ajira wakawa chini ya serikali au kampuni binafsi. Itakupasa kukubaliana na yafuatayo.
Pesa yake haikuhusu, ingawa hawezi kumwacha mtoto wake wa kumzaa akikosa mahitaji, hiyo never. Na pengine hapo ndo kuna unafuu kidogo maana anahudumia wanao kwa vitu wanavyovipenda kama nguo, zawadi nzuri na favours nyingine kama visherehe vya siku ya kuzaliwa.
Atarudi amechoka kutoka kazini, hivyo kubali kukosa care kwa mume kama kufuliwa, kupikiwa na mengineyo ukubali kuzopata kwa dada wa kazi,
Huwezi kumwekea mipaka kama mkeo maana kuna maamuzi yatakayoathiriwa na boss wake huko kazini kwake. Yapasa kukubaliana na kitakachopangwa huko kazini kwake mfano safari ya mbali kikazi, kurudi amechelewa kutokana na majukumu ya ziada. Huna sauti utakuwa ni kukubaliana tu.
Watoto wako watatumia maziwa mbadala na muda mwingi watakaa na dada wa kazi kwa sababu ratiba za mkeo haziwezi kumpa nafasi kutosheleza mahitaji ya kihisia na kimwili ya mtoto wenu ambayo ni lazima kwa makuzi ya mtoto.
Mwanamke ndiye huifanya nyumba kuwe nyumbani mfano kelele za watoto na michezo yao, Usafi wa maua yaliyokatwa vyema na kutunzwa vizuri, usafi wa ndani na activities za hapa na pale mfano ubunifu wa mapishi, kukuwakilisha kwenye vikao vidogo vidogo vya kijamii, kukuletea umbea kidogo wa mtaa ambao ni sehemu ya security..
Mengi mengi tu.
Haya huwezi kuyategemea kwa mke mwenye majukumu mengi ya kikazi.
Ukubali pia pamoja na mzigo wote wa kuihudumia familia ambao mkeo anaweza akakuachia lakini hutapata huduma nyingi za mume ikiwemo tendo la ndoa, utakachokiambulia labda ni heshima uchwara ambayo utakuwa ukijipa mwenyewe kuwa unamiliki mke msomi mwenye kazi ambayo kiuhalisiaina mchango mdogo saba kwenye maisha yako.
Haogopi kukupoteza kwa sababu anayo option za wanaume wengi na kipato. Hatahangaika na wewe hasa watoto wake wakikua. Hivyo unapaswa kujiwekewekeza usitumie nguvu zako zote za ujana kumfurahisha ukasahau kujiendeleza kuandaa maisha yako hasa ukiwa mzee maana hata hao watoto watakuwa upande wako kwa asilimia 25 tu 75 kwake.
Kinyume chake ukioa mke asiye na ajira yapo pia unaweza kukutana nayo mfano;
Kama si mcha Mungu kweli atakuroga ili akuweke sawa maana wewe ukikengeuka na wanawake wengine yeye hali kwake ni tete maana anakutegemea kwa mambo yote.
Ila kikubwa utapata heshima na treatment nyingi anazostahili mume maana kazi yake kubwa itakuwa kujifunza kukufurahisha ili asikupoteze
Kila mtu anapaswa kuangalia anahitaji kuishi maisha ya namna gani kabla hajaoa
Hili nalo neno. Manamke anapaswa kujua kuwa wewe kidume anytime unaweza muondoa na maisha yakaendelea bila tabu.Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya
Nyumba kaikuta na kila kitu ndani
Akicheza anabeba begi kwao!!
Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!
Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
bro hakuna kitu kama mapenzi hizi theory zimeumbwa ili kuhadaa watu waache kutumia akili,,,,hivi ww na USOMI WAKO bado unaamini huu utapeli wa kudanganyana kuwa mnapendana.Unabidi kuoa MTU unayempenda uoga wa maisha ni kitu kibaya .
Kitu muhimu ambacho anabidi kuwa nacho mwanamke ni kujitambua the sense of who you are.
bro hakuna kitu kama mapenzi hizi theory zimeumbwa ili kuhadaa watu waache kutumia akili,,,,hivi ww na USOMI WAKO bado unaamini huu utapeli wa kudanganyana kuwa mnapendana.
Infact watu wanaangalia unanini utachooffer ila wanaicingsugar tukio zima na mbwembwe za kuigiziana mapenzi,,,,filisika au fukuzwa kazi ndo utajua hata mamako mzazi alikuwa anakupenda kisa unapesa😂😂😂😂 ogopa utapeli kataa ndoa!!!!
Kama mwanamke nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utaweka kila kitu ndani ila mwanamke akinunua hata kijiko tu atakusimanga kinoma huku anakwambia yeye ndo ananunua kila kitu ndani
Umejuaje mkuu??? Nimezushiwa haya kikaoni juzi. Yan ni kama umecopy na ku paste hapa mambo yalionikuta juzi kwenye kikao dhidi ya wife mbele ya wachungaji wetu.Utaweka kila kitu ndani ila mwanamke akinunua hata kijiko tu atakusimanga kinoma huku anakwambia yeye ndo ananunua kila kitu ndani