Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).Nakukumbusha tu hakuna mji duniani serikari imewekeza pekee ikaishinda majiji ya biashara. Mfano Beijing haijaishinda Shanghai, Abuja hajaishinda Lagos, Cape town na Johansburg hivyo hio ni ndoto ya alinacha.
Arusha inahusiana nn na hii maada?Ok nambie basi luxury arusha
Ndugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!Nakuongezea kuna baraka classic, bm
hizi ni takwimu za mwaka ganiMiaka 6 iliyopita Dom haikuwa hata na mapato kuzidi Kahama lakini kwa sasa Jiji la Dom liko second kwa Dar ,sijui watu bado wanaongea nini.
Na mwenye mji wake kafa, saiz naona shughuli zote znafanyika Dar.Nakukumbusha tu hakuna mji duniani serikari imewekeza pekee ikaishinda majiji ya biashara. Mfano Beijing haijaishinda Shanghai, Abuja hajaishinda Lagos, Cape town na Johansburg hivyo hio ni ndoto ya alinacha.
Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).
elewa swali kwanzaHayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).
AsanteNyie endeleeni kupoteza muda na dodoma, mkija dar hakuna plot mtakayo weza ishika.. sqm 1 ni elfu 45 hadi elfu 50. Kiwanja cha sqm buku uwe na kuanzia milioni 45 na kuendelea, hiyo dodoma haiwez kukua kama ilivyo pewa promo
ChaduruZi wapi Dodoma nyumba zilizokosa wapangaji?
Mkuu ukisema luxury una maana ipiNdugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko
Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.
Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
Miaka 50 ijayoWatafaidi wajukuu zao matunda ya kazi zao
Sio kweliUkisha vuka miaka 45 uwekezaji wako mzito utakuja kufaidiwa na wanao au wajukuu zao. Mamijengo unayo yaona uk usa ya zamani sasa hivi wajukuu ndio wanayafaidi huku wazee wao waliovuja jasho wakiwa wamesha maliza mwendo.
Sio kitovu cha utalii tena?!Bora hata Dom je wale waliojenga Chato?
Baraka classic ?mtwara domNdugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko
Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.
Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
Tatizo mmeingia dar juzi ndo mnapiga kelele. Hivyo viwanja unavyonunua kwa square meter kibada wenzio tulinunua kama mashamba tena kwa kubembelezwa miaka ya 2003. Tembeni muelimike. Nyie kaeni na dar yenu mtakuja shtuka wenzenu washakuwa mabilioneaNyie endeleeni kupoteza muda na dodoma, mkija dar hakuna plot mtakayo weza ishika.. sqm 1 ni elfu 45 hadi elfu 50. Kiwanja cha sqm buku uwe na kuanzia milioni 45 na kuendelea, hiyo dodoma haiwez kukua kama ilivyo pewa promo