Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Nakukumbusha tu hakuna mji duniani serikari imewekeza pekee ikaishinda majiji ya biashara. Mfano Beijing haijaishinda Shanghai, Abuja hajaishinda Lagos, Cape town na Johansburg hivyo hio ni ndoto ya alinacha.
Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).
 
Nakuongezea kuna baraka classic, bm
Ndugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko

Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.

Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
 
Nakukumbusha tu hakuna mji duniani serikari imewekeza pekee ikaishinda majiji ya biashara. Mfano Beijing haijaishinda Shanghai, Abuja hajaishinda Lagos, Cape town na Johansburg hivyo hio ni ndoto ya alinacha.
Na mwenye mji wake kafa, saiz naona shughuli zote znafanyika Dar.
 
Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).

Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).
elewa swali kwanza
 
Nyie endeleeni kupoteza muda na dodoma, mkija dar hakuna plot mtakayo weza ishika.. sqm 1 ni elfu 45 hadi elfu 50. Kiwanja cha sqm buku uwe na kuanzia milioni 45 na kuendelea, hiyo dodoma haiwez kukua kama ilivyo pewa promo
 
Asante
 
Ndugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko

Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.

Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
Mkuu ukisema luxury una maana ipi
 
Acha upotoshaji mkuu,Dodoma ya juzi sio ya leo,ilipofikia hakuna atakayeirudisha nyuma...
 
We kweli kilaza, endelea kusikiliza maneno hayo hayo ukimaliza njoo field sasa.
 
Ukisha vuka miaka 45 uwekezaji wako mzito utakuja kufaidiwa na wanao au wajukuu zao. Mamijengo unayo yaona uk usa ya zamani sasa hivi wajukuu ndio wanayafaidi huku wazee wao waliovuja jasho wakiwa wamesha maliza mwendo.
Sio kweli
 
Ndugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko

Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.

Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
Baraka classic ?mtwara dom
Bm dom-dar,dom-moshi nitajie hata plate namba nikuone kama unajua basi
 
Nyie endeleeni kupoteza muda na dodoma, mkija dar hakuna plot mtakayo weza ishika.. sqm 1 ni elfu 45 hadi elfu 50. Kiwanja cha sqm buku uwe na kuanzia milioni 45 na kuendelea, hiyo dodoma haiwez kukua kama ilivyo pewa promo
Tatizo mmeingia dar juzi ndo mnapiga kelele. Hivyo viwanja unavyonunua kwa square meter kibada wenzio tulinunua kama mashamba tena kwa kubembelezwa miaka ya 2003. Tembeni muelimike. Nyie kaeni na dar yenu mtakuja shtuka wenzenu washakuwa mabilionea
 
Back
Top Bottom