Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).Nakukumbusha tu hakuna mji duniani serikari imewekeza pekee ikaishinda majiji ya biashara. Mfano Beijing haijaishinda Shanghai, Abuja hajaishinda Lagos, Cape town na Johansburg hivyo hio ni ndoto ya alinacha.