Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

😳
 
Wewe ni kiazi
 
MUHIMU HAPA NI AINA YA MAISHA ALIYOISHI HADI UNAKUTANA NAE💯💯
 
JIPENDE NA UJIPE KIPAUMBELE, MAISHA NI ZAWADI💯
 

Umetisha sana kama ni mngurumo huu wako ni wa RADI💪
 
Umaweza kumshauri dada ako wa kuzaliwa pamoja hivyo☝☝
 
Umaweza kumshauri dada ako wa kuzaliwa pamoja hivyo☝☝

Ushauri mzuri ameutoa wa kumfanya mwanamke apambane na maisha bila kutegemea mwanaume.

Now days mwanamke anaolewa kwa kuangaliwa mchango wake kwenye familia hasa kipesa.

Mwanamke mwenye kipato ni rahisi sana kuolewa kuliko asie na kipato kabisa.

Jamaa anashauri wadada wajipambanie kwanza kabla ya kuwaza ndoa
 
Nakubaliana na wewe hayo ni malezi! Kuna waliolelewa katika umuhimu wa kuondoa gundu! Nao tuwaheshimu wakati tukiheshimu mawazo yako. Maisha hayana fomula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…