Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Kuna wanawake wana miili midogo kiasi kwamba kwa umri huo unaweza kudhani ana miaka 30 tu[emoji234] Usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake wana miili midogo kiasi kwamba kwa umri huo unaweza kudhani ana miaka 30 tu[emoji234] Usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Hujuolewa au?Swali la kitoto
😳Dunia imebadilika wanawake Sasa Hivi wamesoma sana na wanakazi nzuri haina haja ya kuolewa mapema .Pili kwa wanaume life start at 40 ndio maana ndoa za ukiwa na miak 20-2026 ukifika 40 mwanaume anatafuta mtu mwingine na divorce ni nyingi .Halafu ndoa inHitaji experience ya kimapenzi .Chemistry sex lazima ujue mambo Hayo kabla hujaingia kwenye uwanja wa mapenzi .Sio lazima kuolewa au kuoa just love yourself and relax
Wewe ni kiaziWanawake Dunia imebadilika, tunachopitia leo kama jamii wazungu washapitia siku nyingi. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke wa Karne ya 21 kutegemea malengo yake kwa mwanaume. Kwamba utapata mwanaume atakaekuhudumia, kukujengea nyumba ya kuishi n.k. Simama dada yangu jiamini unaweza kufika mbali bila mwanaume au ndoa. Jiongezee thamani wanaume tutakusumbua mpaka utachanganyikiwa hajalishi umri wako. Kuna wanawake wengi Wana maendeleo makubwa na hawajaolewa. Ndoa haitakiwi kuwa kipaumbele kiasi Cha kukupotezea focus ya maisha.
MUHIMU HAPA NI AINA YA MAISHA ALIYOISHI HADI UNAKUTANA NAE💯💯Wanawake wa 30s na 40s wanapendwa sana na senior brothers wenye vipato na wameoa, na hata wadada hao pia hutoka na married men, muhimu hapa ni aina ya maisha alooishi hadi unakutana nae, Nguzo ya Ndoa ni Uvumilivu, Subira na kutambua ndoa ni taasisi ya kudumu na sio daraja la kufika matakwa binafsi. Wengi hukosa sifa hizo pande zote
JIPENDE NA UJIPE KIPAUMBELE, MAISHA NI ZAWADI💯Ndo narudi pale pale aliyeweka ndoa focus yake ya maisha,ni mtu ambaye anamtegemea binadamu mwenzake. Ushauri wangu upo pale pale wanawake wajiongezee thamani wataolewa. Unaweza ukafocus uolewe, ukabadili mienendo yako dada yangu lakini Kuna mahali utashindwa ku compromise. Maisha ni zawadi Mungu kakupa ishi utakavyo jipende jipe kipaumbele trust me utapata furaha ya kudumu.
True kabisaHii thread ina posts zinaweza kumfanya mdada akawa na siku mbaya sana kifikra. Watu wanajua kutema sumu sio poa!!
Mimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Umaweza kumshauri dada ako wa kuzaliwa pamoja hivyo☝☝Wanawake Dunia imebadilika, tunachopitia leo kama jamii wazungu washapitia siku nyingi. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke wa Karne ya 21 kutegemea malengo yake kwa mwanaume. Kwamba utapata mwanaume atakaekuhudumia, kukujengea nyumba ya kuishi n.k. Simama dada yangu jiamini unaweza kufika mbali bila mwanaume au ndoa. Jiongezee thamani wanaume tutakusumbua mpaka utachanganyikiwa hajalishi umri wako. Kuna wanawake wengi Wana maendeleo makubwa na hawajaolewa. Ndoa haitakiwi kuwa kipaumbele kiasi Cha kukupotezea focus ya maisha.
Hii comment kibokoFocus ya maisha sio universal.
Kwa wengine ndoa ndio focus ya maisha.
Umaweza kumshauri dada ako wa kuzaliwa pamoja hivyo☝☝
Kabisaaah.Eeh, mshangazi mimi na sina neno. Mapenzi hayalazimishwi. Ni malimbukeni tu. Yakifa ndo utauona ubaya wake.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Utatu mtakatifu una maana ipi kwan?Inawezekana Vip sasa
UtamuUtatu mtakatifu una maana ipi kwan?
Sasa kwan utamu wasiooa na kuolewa hawapati? Mbna waliooa na kuolewa wanachepuka pia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamu
Nini maana ya kuchepuka?Sasa kwan utamu wasiooa na kuolewa hawapati? Mbna waliooa na kuolewa wanachepuka pia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutoka nje ya ndoa.Nini maana ya kuchepuka?
Nakubaliana na wewe hayo ni malezi! Kuna waliolelewa katika umuhimu wa kuondoa gundu! Nao tuwaheshimu wakati tukiheshimu mawazo yako. Maisha hayana fomulaKuachika wanaachika makabila yote mkuu. Ila mimi nathamini sana mtu anayeniheshimu. If u dont why should i keep u? Mapenzi ni two ways traffic bwashee. Kwanini nitumie nguvu kukukeep? Niolewe ili nionekane na mm nimetoa gundu? Hapana. Nibaki nalo tu..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app