Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Unaambiwa kajiajiri mkuu
 
Kauli nyepesi sana hio ukiwa ndoani ila nje ya ulingo ni zaidi ya fragile
 
Kauli nyepesi sana hio ukiwa ndoani ila nje ya ulingo ni zaidi ya fragile

Ni kwa sababu tunaendeshwa na watu na vitu vinavyotuzunguka na kujikuta tunashindwa kujitambua na kutumia karama na vipawa vyetu ipasavyo
 
Wanyama tena? Wewe ni mnyama gani hapo sasaπŸ˜‚πŸ˜‚ baki na offer yako
 
Thank you mkuu and here's a bill ni 10,000 tu , tuma namba hii hapaπŸ˜‚πŸ˜‚
Oya umekunywa kreti zima au!? Hiyo fanta imetengenezewa maji ya bustani ya Edeni. πŸ˜‚ nilikuambia soda kwa mangi, au umeenda kunywa kempiski?

Soda jero tu, nakutumia buku na yakutolea, usilete mambo ya kiwaki. πŸ˜‚
 
Au [mention]financial services [/mention] unadhan ufundi subwoofer Hauna hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufundi subwoofer unatosha kupeleka mkate wa kila siku mbonaπŸ˜…! Nawaona wale mafundi pale mtaani wakila hela za mafeni, flatscreen na subufa tu! Daily ni kujaza vitambi tu
 
Ufundi subwoofer unatosha kupeleka mkate wa kila siku mbona[emoji28]! Nawaona wale mafundi pale mtaani wakila hela za mafeni, flatscreen na subufa tu! Daily ni kujaza vitambi tu

Mwambie huyo[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] anazingua san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…