Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Mi nadhani uchumi tu ndio unaleta hizi mambo kizazi hiki. Imagine mtu ana masters na hana kazi, hiyo familia anailisha nn?? Mwishowe ndo hivo over 30's mbka 40's wapo home kwa wazazi na wajukuu kama wte....umri namba tu, mapenzi popote sema ndo hivo apeche alolo hata nauli sina๐Ÿ˜ƒ
Unaambiwa kajiajiri mkuu
 
Acha kukariri maisha na pia usilazimishe mipango ya maisha yako wewe iwe ya mwingine

Sio lazima kila mtu aolewe au azae
Sio lazima kila mtu aolewe akiwa 20s 30s
Sio lazima kila mtu awe na watoto na sio kila anayezaa akiwa 30plus hawezi kucheza na watoto

Ndoa, watoto, mali, mafanikio ni majaliwa na mipango binafsi ya mtu

Kuna watu walazimisha kuoana au kuishi wanaishi kuuana
Kuna couples wanapata watoto wanawatelekeza ili wale bata
Kuna couples wanaoana lakini sio kwaajili ya kuzaa sababu hawajajaliwa au sababu hawajapendezwa
Kauli nyepesi sana hio ukiwa ndoani ila nje ya ulingo ni zaidi ya fragile
 
Kauli nyepesi sana hio ukiwa ndoani ila nje ya ulingo ni zaidi ya fragile

Ni kwa sababu tunaendeshwa na watu na vitu vinavyotuzunguka na kujikuta tunashindwa kujitambua na kutumia karama na vipawa vyetu ipasavyo
 
Wanyama tena? Wewe ni mnyama gani hapo sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ baki na offer yako
 
Thank you mkuu and here's a bill ni 10,000 tu , tuma namba hii hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Oya umekunywa kreti zima au!? Hiyo fanta imetengenezewa maji ya bustani ya Edeni. ๐Ÿ˜‚ nilikuambia soda kwa mangi, au umeenda kunywa kempiski?

Soda jero tu, nakutumia buku na yakutolea, usilete mambo ya kiwaki. ๐Ÿ˜‚
 
Au [mention]financial services [/mention] unadhan ufundi subwoofer Hauna hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufundi subwoofer unatosha kupeleka mkate wa kila siku mbona๐Ÿ˜…! Nawaona wale mafundi pale mtaani wakila hela za mafeni, flatscreen na subufa tu! Daily ni kujaza vitambi tu
 
Ufundi subwoofer unatosha kupeleka mkate wa kila siku mbona[emoji28]! Nawaona wale mafundi pale mtaani wakila hela za mafeni, flatscreen na subufa tu! Daily ni kujaza vitambi tu

Mwambie huyo[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] anazingua san
 
Back
Top Bottom