amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Jamani jana sokoni mie niliiywa aunt, roho iliniuma kweli??Kwani aunty, umekaribia kuolewa?
Hivi kweli mie wa kuitwa aunty???๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jana sokoni mie niliiywa aunt, roho iliniuma kweli??Kwani aunty, umekaribia kuolewa?
Kumbe alikataa penzi la fundi sabufa๐Si ulinkataa haya[emoji28][emoji28]
Kumbe alikataa penzi la fundi sabufa[emoji28]
Sahii analia yeye sasa anataka mumeAna mawenge huyu n balaa mkuu
Yan nmelia sana ila wapiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaambiwa kajiajiri mkuuMi nadhani uchumi tu ndio unaleta hizi mambo kizazi hiki. Imagine mtu ana masters na hana kazi, hiyo familia anailisha nn?? Mwishowe ndo hivo over 30's mbka 40's wapo home kwa wazazi na wajukuu kama wte....umri namba tu, mapenzi popote sema ndo hivo apeche alolo hata nauli sina๐
Kauli nyepesi sana hio ukiwa ndoani ila nje ya ulingo ni zaidi ya fragileAcha kukariri maisha na pia usilazimishe mipango ya maisha yako wewe iwe ya mwingine
Sio lazima kila mtu aolewe au azae
Sio lazima kila mtu aolewe akiwa 20s 30s
Sio lazima kila mtu awe na watoto na sio kila anayezaa akiwa 30plus hawezi kucheza na watoto
Ndoa, watoto, mali, mafanikio ni majaliwa na mipango binafsi ya mtu
Kuna watu walazimisha kuoana au kuishi wanaishi kuuana
Kuna couples wanapata watoto wanawatelekeza ili wale bata
Kuna couples wanaoana lakini sio kwaajili ya kuzaa sababu hawajajaliwa au sababu hawajapendezwa
Nimesema km huna mpango wa kumuoa, sio kumuacha, hebu kuwa muelewa bas.Sina mpango wa kumuacha .
Kauli nyepesi sana hio ukiwa ndoani ila nje ya ulingo ni zaidi ya fragile
Ndio dunia ilivyo utafanyaje sasa!Ni kwa sababu tunaendeshwa na watu na vitu vinavyotuzunguka na kujikuta tunashindwa kujitambua na kuumia karama na vipawa vyetu ipasavyo
Thank you mkuu and here's a bill ni 10,000 tu , tuma namba hii hapa๐๐Oya, toka uzaliwe leo umeongea pointi, kunywa fanta big hapo kwa mangi. ๐ ๐
Kimeu manaa mwaisaa๐๐๐Thank you mkuu and here's a bill ni 10,000 tu , tuma namba hii hapa๐๐
Nipo serious sana linapokuja suala la offer ๐๐ jaribu kunipa offer pia nakufata hadi home kudai pesa๐Kimeu manaa mwaisaa๐๐๐
Uje baadae ntakuwepo Wanyama hotel SinzaNipo serious sana linapokuja suala la offer ๐๐ jaribu kunipa offer pia nakufata hadi home kudai pesa๐
Oya umekunywa kreti zima au!? Hiyo fanta imetengenezewa maji ya bustani ya Edeni. ๐ nilikuambia soda kwa mangi, au umeenda kunywa kempiski?Thank you mkuu and here's a bill ni 10,000 tu , tuma namba hii hapa๐๐
Sahii analia yeye sasa anataka mume
Ufundi subwoofer unatosha kupeleka mkate wa kila siku mbona๐ ! Nawaona wale mafundi pale mtaani wakila hela za mafeni, flatscreen na subufa tu! Daily ni kujaza vitambi tuAu [mention]financial services [/mention] unadhan ufundi subwoofer Hauna hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufundi subwoofer unatosha kupeleka mkate wa kila siku mbona[emoji28]! Nawaona wale mafundi pale mtaani wakila hela za mafeni, flatscreen na subufa tu! Daily ni kujaza vitambi tu
Damn I LIKED YOU..!!!Nimemshauri Nipo kwenye ndoa huu mwaka 14. Mume wangu nampa Top of the line blow job ok sio mambo ya walnut