Umemaliza kila kitu[emoji1666]Mimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Em nikuulize swali..inaamaanaa miaka yote hukuwah kubqhatika kudate na serious guy mpk unafika 30s...qu ulikua unawakataa unaangaliaNajutaa now nahitaji yeyote ila mradi awe anapumua(joke)[emoji23]
Duuuh hatareeeh sana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee elewa hivyo hivyo. tunapendana na sina mpango wa kumuacha.
Nilikuwa nafikiria baada ya 10 years nikiasi gani atakuwa katumika
Unanifurahishaga sana wewe ni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duuuh hatareeeh sana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu wee nitafute kuleee, nna ujumbe wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanifurahishaga sana wewe ni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
PoaAfu wee nitafute kuleee, nna ujumbe wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuonimbona ebu njoo nistue kidogo.Afu wee nitafute kuleee, nna ujumbe wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari.Sikuonimbona ebu njoo nistue kidogo.
MWANAMKE NDIO MWENYE KUHITAJI ZAIDI NDOA KULIKO MWANAUME.(NI SABSBU ZA KIBAILOJIA, HII KUBALI KATAA NI HIVYO HIVYO.MWANAUME NI MBEGU, MWANAMKE NI SHAMBA. SHMBA BILA MBEGU NI LA NINI SASA?)Mimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Ili uolewe haraka jitahidi kumpenda mwanaume na madhaifu yake na pia jitahidi usiwe mwanaharakati ndoa utaipata na acha dharau. Unatongozwa unaringa ringa pia acha viwanja kujirusha acha hutaolewa watakubutua tu km mpira wa konaHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aahπ.
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Waambie waaambie. Wakishaambiwa nakupenda wanakuaga yatima aisee yaani mahusiano yanageuzwa ajjra.Ukiwa na expectations nyingi sana za kimaisha huku ukiamini zitatuliwa kupitia mfuko au pochi la mwanaume lazima mtasubiri sana dada yangu.
Wanaume wenye hela wapo wachache na kila mwanamke anamtaka huyo mwanamme, mwisho wa siku atachagua mmoja hao wengine ataonyesha uwanaume wake kwa kuwagonga wanawake watakao jipendekeza.
Kama umepata mwanaume anaye kutimizia MAHITAJI YA MSINGI anza nae huyo huyo,tatizo wengi wenu hamjui mahitaji yenu ya msingi,mnaamini luxury needs ndiyo mahitaji yenu ya msingi.
Mkuu kwa wanaume wasaizi hawaangalii umri wanaangalia Kama unalo na unacare hapa hata uwe na miaka 60 vijana wa hovyo watakuoa tu
[emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu kwa wanaume wasaizi hawaangalii umri wanaangalia Kama unalo na unacare hapa hata uwe na miaka 60 vijana wa hovyo watakuoa tu