Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Nashindwa ni kwambieje lkn hiyo ni nature tu ya wanyama karibia wote na ni ngumu kuikwepa na ukiikwepa itachukua muda mrefu kutoka akilini mwako
 
Dah Mimi umenitachi Sana .....ningekuoa kabisa, tatizo Ni umri wako mkubwa tu
 
Thank you for the advice, ila mimi niko simple wala sihitaji mambo makubwaa, mkaka tu wa kawaida ila yes awe anajali, napenda kudeka siyo sana lkn[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajiju sasa wee subiri hivyo wa kumdekea, wanaume wenyewe hawa wameshavurugwa hawaelew, muda wa kukubembelezaa na kukudekeza wanautoa wapi kwan? Hahahah
 
Financial services mbona nilikuambia uje PM tuzungumze haya maswala....

Ila enewi nisianzishe vayolensi muuluze mrema na mke wake mpya wana umri gani.
 
financial services hebu nikupe uzoefu wangu kwa upande wa kinyume chake.

Mimi niliolewa na miaka 21.
Nikimtizama binti yangu mwenye miaka 22 leo.
Siamini kuwa niliruhusiwa kuolewa nikiwa nina mwaka mmoja chini yake.
Najiuliza kwann wazazi hawakunikatalia ile posa?
Nakuja kuhitimisha wangekuwa ni wazazi wangu kabisa baba na mama yangu wangenigomea.
Nafkiri walioniozesha waliona ni nafuu niende.

Ipo tafsiri kubwa sana ya miaka 30 na kuendelea.
Ukiniuliza mimi, nafkiri miaka 30 ndo miaka sahihi ya binti kuolewa.
Mi nilikuja kuelewa maana ya ndoa nikiwa nimeshakaa miaka zaidi ya 8 kama sio 10 kabisa.

I was too young to marry, we were both too young.
21 kwa 23.
Jamani!!
By 35 tumeshaoneshana kila rangi!!
Mxxxxxxxiiiieeee.
 
Duuuuh poleeeeeh sanaaa. Na hongera pia.
 
Kuanzia 30 ni poa kwani wana mawazo ya mtu mzima na wanajua maana ya ndoa. Ila mwanaume aanzie 40 ndio mambo yatanyooka. Umri mkubwa unapunguza michepuko.
 
Mwanaume inatakiwa ukifkisha miaka 50 angalau wanao wawe kwenye 30 au 25 na mwanamke akifika 50 wanawe wawe 30 au 35

Inasaidia ukifika 60 hakuna tena mtoto mdogo ambae atawakimbiza mchaka mchaka na mambo ya ada,ugomvi wa mitaani,katoroka nyumban vitu kama hvyo unakwepa umalize uzee wako mke na mume mkiwa mnapewa kampuni na wajukuu au mnaruka zenu bakurutu kumalizia maisha na vacation kwa sana
 
Hongera, ona sasa una binti ana 22, yaani probably ina your early 40s uko na binti mkubwa. Hiyo ndio faida ya kuzaa mapema, the rest ni hasara tu. 30s ni wakati mzuri sana kuingia ndoani, disadvantage yake ni kupata watoto umri ushakata.
 
Malipo ni hapa hapa duniani, si ulinikataa!
 
Binti anaruhusiwa kuolewa kuanzia miaka 15 waliotunga hii sheria waliwaza mengi ikiwemo mabinti wengi kuanzia huo kua na maumbo makubwa,hivyo kwenye huo umri mpaka miaka 25 wanaume wengi wanaowa hapo,sasa mwanamke anafika miaka 30 hapo kiukweli anakuwa ni mmama sana,na wengi wao kwenye huo umri anakuwa amekimbiza kilometa nyingi sana[emoji23][emoji23] hivyo mara nyingi wanawake hao huolewa na wanaume wenye umri mkubwa kuanzia 45 and above sasa shida wenye huo umri ni waume za watu tayari yaani kijana mwenye miaka 30-35 akioa hapo mwanamke akizaa mara moja tu yaani unaonekana umeoa lijimama tena la mwendokasi kwahiyo hapo unahitaji mwanaume kuanzia 45 years na kuendelea,pia kitu kingine ni uzuri na wa mwonekano wa mwanamke sasa hapo jamaa akijaa haangalii umri ye atatangaza ndoa tu umri kwake sio shida.
 
Huwa nafurahi kuona kuna mtu anafurahia. Hongera sana mkuu
 
Sasa huo upande mmoja...upande mwengine je tunakubali kuwa na jamii ambayo watu wanagegedana tuu mpaka wakafike hiyo miaka 30? Madhara yake ndani ya ndoa tutakubalina nayo?
 
Warembo wolewe mapema tuu 24-28 waolewe...ukishafika 30 wee tulia na mbususu yako tuu huna sababu ya kuwalisha watu makombo yako🤣🤣🤣🤣
 
Vp umeshadoda....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…