Ndiyo mkuu, nimedoda completelyVp umeshadoda....!!
Vice versa is true, I can smell thatNdiyo mkuu, nimedoda completely
Hujui wewe mwanamke akishaoga mbususu inakuwa 'brand new'Warembo wolewe mapema tuu 24-28 waolewe...ukishafika 30 wee tulia na mbususu yako tuu huna sababu ya kuwalisha watu makombo yako🤣🤣🤣🤣
Inawezekana ni kweli ila pia huwezi kuoa au kuolewa na mtu yeyote tu, kumbuka ni kifungo cha maisha kile, lazima awe na sifa fulani unazopendezwa nazo japo si 100%, na nna hakika hata wewe ukiwa mkubwa hutooa tu ili mradi, lazima utachagua aina fulani labda anayejali, mtafutaji nk..Japo mimi bado mdogo ila Kwa maoni yangu ni kwamba vijana wengi katika 20s huishi kufantasize watakavyoishi maisha ya ndoto zao swala ambalo kwa upande mwingine hupoteza mda na kuja kushtuka wakiwa 30s.. ndio maana jinsia KE wengi katika 20s zao huwa wanabagua kutokana na standard zao zinazozunguka vichwani mwao katika umri husika,kuja kustuka matokeo yake ndo yale ya "nahitaji mwanaume yoyote"
That's the truth, nimedoda as you said.Vice versa is true, I can smell that
Ndio,japo sasa uhalisia kama ulivosema standard hazitofikiwa 100% kwahiyo inabidi unazichukua standard hizo alafu unazistandardize tena hapo sasa unakuwa unapunguza michakato ya ajabuInawezekana ni kweli ila pia huwezi kuoa au kuolewa na mtu yeyote tu, kumbuka ni kifungo cha maisha kile, lazima awe na sifa fulani unazopendezwa nazo japo si 100%, na nna hakika hata wewe ukiwa mkubwa hutooa tu ili mradi, lazima utachagua aina fulani labda anayejali, mtafutaji nk..
Nani huyo anamsema vibaya huyu bintiThat's the truth, nimedoda as you said.
Tatizo wapigaji ndo mnao wapa tunda bila kujua unampa mzigo mtu ambaye anapiga tu halafu imeisha iyo au mbaya zaidi anakufanya mchepuko,Ndiyo mkuu, nimedoda completely
Nadhani nastahili kusemwa hivyo mkuu uzi wangu unaponza , ila I'm ok with it 😒Nani huyo anamsema vibaya huyu binti
Ok ila ntawagunduaje hao wazito midomo au wapigaji? , nini kifanyike?Tatizo wapigaji ndo mnao wapa tunda bila kujua unampa mzigo mtu ambaye anapiga tu halafu imeisha iyo au mbaya zaidi anakufanya mchepuko,
waoaji wanakuwaga na midomo mizito nadhani umeshawapiga chini wengi bila kujua unapiga teke ndoa.
😂😂 niache banaMalipo ni hapa hapa duniani, si ulinikataa!
Sikuachi mpaka kieleweke😂😂 niache bana
Ijumaa, Jumamosi na jumapili, kutakuwa na darasa la kukufundisha midomo mizito na wapigaji.Ok ila ntawagunduaje hao wazito midomo au wapigaji? , nini kifanyike?
Aisee .....haiwezekani. iliyotumika imetumika tuu tusijidanganye. Wee sema tuu tuendeleze uzinziHujui wewe mwanamke akishaoga mbususu inakuwa 'brand new'
Hihiiii. Mliinjoy ujana kwa mapana yake.financial services hebu nikupe uzoefu wangu kwa upande wa kinyume chake.
Mimi niliolewa na miaka 21.
Nikimtizama binti yangu mwenye miaka 22 leo.
Siamini kuwa niliruhusiwa kuolewa nikiwa nina mwaka mmoja chini yake.
Najiuliza kwann wazazi hawakunikatalia ile posa?
Nakuja kuhitimisha wangekuwa ni wazazi wangu kabisa baba na mama yangu wangenigomea.
Nafkiri walioniozesha waliona ni nafuu niende.
Ipo tafsiri kubwa sana ya miaka 30 na kuendelea.
Ukiniuliza mimi, nafkiri miaka 30 ndo miaka sahihi ya binti kuolewa.
Mi nilikuja kuelewa maana ya ndoa nikiwa nimeshakaa miaka zaidi ya 8 kama sio 10 kabisa.
I was too young to marry, we were both too young.
21 kwa 23.
Jamani!!
By 35 tumeshaoneshana kila rangi!!
Mxxxxxxxiiiieeee.
Usijinenee hayaThat's the truth, nimedoda as you said.
Angalia ujanja wa mwanaume anapo ku_approach,Ok ila ntawagunduaje hao wazito midomo au wapigaji? , nini kifanyike?
Ukisha kula tunda vitu viwili vinaweza kutokea, kuendelea na mahusiano au mahusiano kuishia hapo.Aisee .....haiwezekani. iliyotumika imetumika tuu tusijidanganye. Wee sema tuu tuendeleze uzinzi
Ujinga wa mwanaume ndio unasababisha mahusiano yaendeleeUkisha kula tunda vitu viwili vinaweza kutokea, kuendelea na mahusiano au mahusiano kuishia hapo.
Inaonekana hujui sababu ya mojawapo kati ya hayo mawili kutokea baada ya mwanamke kuliwa tunda.
Mwanamke alie tumika Sana anaachwa baada ya kugongwa pia hata ambaye hajatumika Sana anaachwa baada ya kugongwa,
Labda wewe unafikili Ni kitu gani kinasababisha mahusiano yaendelee?