Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Naona mnazidi kupeana stress zisizo na sababu, umri wowote ni sahihi kuoa/kuolewa, Ila nasisitiza kupata/kujaliwa watoto mapema ni muhimu sana.

I was in my early 30s, she was in her late 20s....sioni tofauti yoyote kwenye maisha zaidi ya majukumu kuongezeka kila umri unapoongezeka.
 
Nimeolewa lakini sio kiviiiile
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Unajua mpaka nkasema "seriously " ni kwa sababu wewe ni mtu unapenda sana utani hapa jukwaani.

Anyway haya nimepata jibu
 
Pole mkuu wewe ndiyo umekuwa yule Ant
 
Ukiwa mjinga (ujitambui na utambui thamani yako) utaendeshwa sana na maneno ya wenzio.
Usikimbilie ndoa kisa umri umeenda au watu wanakusema, kila jambo na wakati wake na wakati wako sio sawa na wakati wa mwenzio.

Ila hio kauli isikupe kichwa ukaanza kuwakataa wanaokuja sahivi.
 
Zamani kwa sasa gundu ni single mothers mi naona ukioa mwanamke mkubwa kama ivyo ndo best nataka awe hata 32 kamaliza michezo yote anajitambua

Ila single mothers sio wa kuoa kabisa
 
Kuna kimoja icho miaka 25 njoo upige ndoa eti am taken sawa sawa duh kina mimba jamaa kakimbia south kasema mpaka mtoto azaliwe ahakikishe kama ni wake 🀣🀣🀣na hatomuoa atachukua mwanae tu
 
Kikubwa Amani na furaha si ndio
 
Ndoa ni mpango wa Mungu na ndio maana alipomuumba mwanamke na mwanaume akatoa baraka ya kuzaliana na kuongezeka, msingi wa kupata watoto inatakiwa iwe ndani ya ndoa na sio nje, kuzalia nje ya ndoa wanafosi lakni bado Ile ya hamu ya kuingia kwenye haiwezi Toka maana ndio msingi wa maisha ambao Mungu amemuumbia Mwanadamu isipokuwa kwa kazi maalumu kutoka kwake mwenyewe
 
Yaani gari kilomita zishasoma halafu hutaki liiguse vumbi?
 
J akili yako unainuaga mwenyewe
Hahahaahhaha

Yaani Joanah unaweza sema sometimes huwa anapiga ndumu vileeee.

Hahaahaha but hii personality yake ndio inamfanya pia anapata fans kama mimi hivi.

O'level darasani tulikuwa na binti flani hivi anaitwa Mwanabakari nadhani sina uhakika, alikuwa msela msela hivi hivi mpaka akawa anajiita Beka. Aiseee nlimkubali sana yule binti swaga zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…